YANGA YATEMBEZA KICHAPO, YASHINDA MABAO 3-0 DHIDI YA AFRICAN LYON
HomeMichezo

YANGA YATEMBEZA KICHAPO, YASHINDA MABAO 3-0 DHIDI YA AFRICAN LYON

KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kimezidi kujinoa kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la ...


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi kimezidi kujinoa kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho kikiwa kimeweka kambi yake Kigamboni, kijiji cha Avic.

Jana Aprili 6 kilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon ikiwa ni kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC.

Kwenye mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 ambapo mabao ya Yanga yalifungwa na Michael Sarpong, Fiston Abdulzack pamoja na Paul Godfery, 'Boxer'.

Yanga inakumbuka kwamba ilipokutana na KMC kwenye mchezo wao wa mzunguko wa kwanza Uwanja wa CCM Kirumba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 hivyo itaingia uwanjani kulinda rekodi huku KMC ikihitaji kutibua rekodi hiyo.

Mwambusi amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na morali ya wachezaji ni kubwa.

"Morali ya wachezaji ni kubwa na kila mmoja anaonekana kuwa na furaha hivyo tutapambana kupata matokeo," .

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 10, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATEMBEZA KICHAPO, YASHINDA MABAO 3-0 DHIDI YA AFRICAN LYON
YANGA YATEMBEZA KICHAPO, YASHINDA MABAO 3-0 DHIDI YA AFRICAN LYON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwvqoDR0Qs3lDHnmr9FIc2ujXS10pnxZC8HbARFQQHDSn4T0ugntUYQDhFEP8gIwitRQ1tu4UxHPKDFjP1Ox2SxILoyC4qflIZfvn9XYmZoe3wJCLdhMuY2_jUfL9oH894HYQIBWS4OZZ3/w632-h640/Wazir+Jr+v+African.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwvqoDR0Qs3lDHnmr9FIc2ujXS10pnxZC8HbARFQQHDSn4T0ugntUYQDhFEP8gIwitRQ1tu4UxHPKDFjP1Ox2SxILoyC4qflIZfvn9XYmZoe3wJCLdhMuY2_jUfL9oH894HYQIBWS4OZZ3/s72-w632-c-h640/Wazir+Jr+v+African.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-yatembeza-kichapo-yashinda-mabao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-yatembeza-kichapo-yashinda-mabao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy