YANGA WAANZA NA MAMBO MANNE HAYA HAPA
HomeMichezo

YANGA WAANZA NA MAMBO MANNE HAYA HAPA

  K AIMU Kocha Mkuu  wa Yanga, Juma  Mwambusi, ameanza  kuonesha moto ndani ya  timu hiyo baada ya kuwapa  wachezaji wake mambo  manne ana...


 KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kuonesha moto ndani ya timu hiyo baada ya kuwapa wachezaji wake mambo manne anayotaka kuyaona.


Mwambusi anakaimu nafasi ya aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi, Cedric Kaze aliyetimuliwa Machi 7, mwaka huu kufuatia mwenendo wa matokeo ya kusuasua licha ya Yanga kuendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi kuu Bara ikiwa na pointi 50, ikifuatiwa na Simba yenye pointi 46.

 

Yanga kwa sasa imekuwa ikijiandaa na mechi za ligi na Kombe la FA ikiwa chini ya Mwambusi ambaye amekuwa akiwasisitizia nyota wake mambo manne wanapokuwa mazoezini.

 

Taarifa za uhakika kutoka ndani ya kambi ya timu hiyo iliyopo Avic Town, Kigamboni, Dar ambazo Spoti Xtra imezipata, zinasema kuwa kocha huyo amekuwa mkali kuhakikisha kikosi chake kinarudisha hali ya kujiamini na kupata ushindi.

 

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa, Mwambusi amekuwa akisisitiza suala la nidhamu kwa wachezaji kwa kuwa ndiyo nguzo kubwa ambayo inaweza kuwabeba kufanya vizuri katika michezo yao.

 

“Timu inaendelea na mazoezi kwa muda mrefu licha ya kwamba baadhi ya nyota hapo awali kukosekana kutokana na kuwa na majukumu kwenye timu zao za taifa.

 

“Kocha amekuwa akiwasisitiza wachezaji kwanza kuwa na nidhamu kwa kuwa ndiyo msingi mkubwa wa mafanikio, lakini pia wakubali kujitolea kwa sababu wameajiriwa na Yanga kuipa mafanikio na mafanikio hayo hayawezi kutokea kama watashindwa kuwa hivyo.

 

“Pia amewataka wachezaji kuelewa kwamba hakuna atakayekuwa na namba ya kudumu kwenye timu, hivyo kila mmoja anatakiwa kujituma na jambo la mwisho kutambua kama bado wanapigania ubingwa na hawapaswi kushuka katika nafasi waliyopo sasa,” alisema mtoa taarifa huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WAANZA NA MAMBO MANNE HAYA HAPA
YANGA WAANZA NA MAMBO MANNE HAYA HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxDIyD2x6MW2R5uPLsx4rlyHxOX6grU00ENjLWGD6CTugIwUfqzx3KbG5PK6DIhn0N0qpXJpkAXcnT0Ct7_Bq0MFnMOnKMuJLjhoF1dxq3i0x20YzPaC91GO7xQvAaXUnBcLpeAj2aKsyl/w640-h640/Mwambusi+Mpya.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhxDIyD2x6MW2R5uPLsx4rlyHxOX6grU00ENjLWGD6CTugIwUfqzx3KbG5PK6DIhn0N0qpXJpkAXcnT0Ct7_Bq0MFnMOnKMuJLjhoF1dxq3i0x20YzPaC91GO7xQvAaXUnBcLpeAj2aKsyl/s72-w640-c-h640/Mwambusi+Mpya.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-waanza-na-mambo-manne-haya-hapa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-waanza-na-mambo-manne-haya-hapa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy