TECNO Kutwaa Taji La Simu Pendwa Baada Ya Kuishinda Samsung.
HomeHabari

TECNO Kutwaa Taji La Simu Pendwa Baada Ya Kuishinda Samsung.

Utafiti wa soko la teknlojia, uliofanya na kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyo...


Utafiti wa soko la teknlojia, uliofanya na kampuni ya utafiti ulimwenguni inayojishughulisha na bidhaa katika tasnia ya teknolojia ya vyombo vya habari na mawasiliano ya simu. 
 
Mwishoni mwa mwezi wa nne wametoa ilitoa report ikionyesha kuwa kampuni ya simu TECNO imechukua nafasi ya kwanza kama simu bora Afrika kwa mwaka 2020 baada ya kuipindua kampuni ya simu Samsung na hii ni kufuatia uzalishaji wa simu za TECNO kuwa na viwango vya kuridhisha na kwa bei rafiki.

TECNO imefanikiwa kuwa kinara kufuatia tathmini la anguko Kwa asilimia 6.7% katika usafarishaji wa simu janja barani Afrika mnamo mwaka 2020. Uharibifu mkubwa ulifanyika katika nusu ya kwanza ya Mwaka kwa sababu ya usumbu wa usambazaji uliosababisha na COVID-19, nakupekea uhitaji kuwa mkubwa katika nusu ya pili.


Akizngumza juu ya mienendo ya soko, Mchambuzi Muandamizi Yang Wang alisema, kuangalia mwaka mzima soko la simu janja Afrika katika mikoa yake lilifanya vizuri lakini haikuweza kupigana na uharibu ulioletwa na COVID-19. Robo ya pili ya Mwaka 2020 ulikuwa mgumu zaidi baada ya uhitaji kuwa mkubwa lakini nchi nyingi zilikuwa zinapitia sheria ya kujifungia/lockdown. Usafirishai wa simu janja wakati wa robo ya pili ulisababisha kushuka kwa tathini ya asilimia 27%.


Wang aliongeza, vizuizi vilianza kushuka mwezi Julai. Mahitaji yalifuata vivyo hivyo na kuongezeka kwa shughuli za uendelezaji, hata wakati kesi za COVID-19 zilipanda juu kuelekea msimu wa ununuzi Christmas. Robo ya 4 kwa Mwaka 2020 ilitoa faida ya asilimia 1.5% kwa maeneo na kuwa robo bora zaidi kwenye kumbukumbu.


Kulingana na report, TECNO ilikuwa namba moja katika mwaka 2020 licha ya kuwa soko la simu liliyumba barani Afrika kutoka na janga la COVID-19 hali ilipoanza kuwa shwari TECNO ilifanya vizuri sokoni kutokana na uzalishaji wa simu bora kwa bei rafiki. TECNO iko tayari kupata faida zaidi kwa 2021. Samsung imeona soko lake likishuka kutokana na mvurugiko wa usambazaji mapema mwanzoni mwa Mwaka, Samsung zenye bei ya kati kuonyesha hali ya mafanikio mbeleni.


TECNO imekuwa kwa kasi barani Afrika na kufikia hadi nchi 60 na zaidi barani Asia, Latini America na Middle East katika miaka ya hivi karibuni huku lengo lake kuu likizingatiwa kwa uendaji sambamba na teknolojia katika bidhaa mpya na kufikia vijana zaidi. Mabadiliko makubwa yameonyeshwa na TECNO CAMON na TECNO Spark Series zilizozinduliwa mnamo mwaka 2020 na kuzingatia teknolojia katika mfumo wa camera.


Shukrani kwa vituo kadhaa vya utengenezaji kote Asia na Afrika.


Kwa report nzima tembelea  counterpoint.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TECNO Kutwaa Taji La Simu Pendwa Baada Ya Kuishinda Samsung.
TECNO Kutwaa Taji La Simu Pendwa Baada Ya Kuishinda Samsung.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNBF3RUta1nhFnfpaq0f23hn3WAxNcY3R63EdZ1mjBAC7t39mL5fIKKQRFnxRNXVVwOMy1ZnV-SC4Pzh7MwNHNAPqNhgXEttZuu8lXUdnudshNDisZqKRqnlByg6pKpJahl2i07BWyYIC1/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNBF3RUta1nhFnfpaq0f23hn3WAxNcY3R63EdZ1mjBAC7t39mL5fIKKQRFnxRNXVVwOMy1ZnV-SC4Pzh7MwNHNAPqNhgXEttZuu8lXUdnudshNDisZqKRqnlByg6pKpJahl2i07BWyYIC1/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/tecno-kutwaa-taji-la-simu-pendwa-baada.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/tecno-kutwaa-taji-la-simu-pendwa-baada.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy