SIMBA:TUNAOMBA TUFIKE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA
HomeMichezo

SIMBA:TUNAOMBA TUFIKE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

  BEKI kisiki wa Simba chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Didier Gomes, Joash Onyango amesema kuwa wanaomba wafike hatua ya nusu fainali ...

 




BEKI kisiki wa Simba chaguo namba moja la Kocha Mkuu, Didier Gomes, Joash Onyango amesema kuwa wanaomba wafike hatua ya nusu fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali baada ya kukusanya pointi 13 kwenye kundi A ikiwa ni namba moja huku Al Ahly wakiwa nafasi ya pili baada ya kukusanya pointi 11.

Kwenye hatua ya makundi Simba ilicheza jumla ya mechi sita ambapo ilifungwa mechi moja ilikuwa mbele ya Al Ahly kwa kukubali kuokota bao moja nyavuni huku mechi nne ilishinda na ililazimisha sare ya bila kufungana na Al Merrikh ya Sudan.

Akizungumza na Saleh Jembe, Onyango amesema kuwa hatua ambayo wamefika ni kubwa na wanaamini wana nafasi ya kufanya vizuri kwenye hatua hiyo.

“Tunashukuru kufika hatua ya robo fainali licha ya kwamba tulipoteza mchezo wetu wa mwisho. Ila kwa sasa ambacho tunaomba ni kwamba tuweze kufika hatua ya nusu fainali kwani haya ni malengo yetu.

"Ushindani ni mkubwa hilo lipo wazi nasi pia hatutafanya vibaya tutapambana na kusaka matokeo kwenye mechi zetu," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA:TUNAOMBA TUFIKE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA
SIMBA:TUNAOMBA TUFIKE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsMBm98y2QibogJELmYJZay41ko8vu9lBO_2ULGBhSfrVyDrD2C8iOJy7kgApbZoauBJBJZ5odNpZBY9-5XraIqOmOsLe9ghXVysYIP0VqPcSbaUovneMrFhNEKOr2p9_xKkbkVHs3UexD/w640-h494/Onyango+na+Chama.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsMBm98y2QibogJELmYJZay41ko8vu9lBO_2ULGBhSfrVyDrD2C8iOJy7kgApbZoauBJBJZ5odNpZBY9-5XraIqOmOsLe9ghXVysYIP0VqPcSbaUovneMrFhNEKOr2p9_xKkbkVHs3UexD/s72-w640-c-h494/Onyango+na+Chama.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simbatunaomba-tufike-nusu-fainali-ligi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/simbatunaomba-tufike-nusu-fainali-ligi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy