SABABU YA DILI YA SABILO KUBUMA YANGA NI KOCHA MBELIGIJI
HomeMichezo

SABABU YA DILI YA SABILO KUBUMA YANGA NI KOCHA MBELIGIJI

 SIXTUS Sabilo, nyota wa Namungo FC inaelezwa kuwa sababu ya dili lake la kujiunga na Klabu ya Yanga kubuma ni kuchimbishwa kwa Luc Eymael r...

 SIXTUS Sabilo, nyota wa Namungo FC inaelezwa kuwa sababu ya dili lake la kujiunga na Klabu ya Yanga kubuma ni kuchimbishwa kwa Luc Eymael raia wa Ubelgiji aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo.



Eymael alifutwa kazi msimu uliopita wa 2019/20 kwa kile kilichoelezwa kuwa ni maneno yake ya kashfa pamoja ambayo yalikuwa yanaashiria ubaguzi wa rangi.


Zama zake alikuwa anahitaji kumsainisha Sabilo ambaye wakati huo alikuwa anacheza ndani ya Klabu ya Polisi Tanzania. 


Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa Sabilo imeeleza namna hii:"Sabilo alikuwa anahitajika na Yanga ila ambaye alikuwa anamhitaji alikuwa Eymael,  baada ya kufutwa kazi basi na dili lake likafutwa jumlajumla, " .


Kwa sasa Sabilo yupo ndani ya Namungo FC akiendelea kupambania mkate wake wa kila siku na timu yake inashiriki mashindano ya Kombe la Shirikisho ikiwa hatua ya makundi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SABABU YA DILI YA SABILO KUBUMA YANGA NI KOCHA MBELIGIJI
SABABU YA DILI YA SABILO KUBUMA YANGA NI KOCHA MBELIGIJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBQvljUfBK102FF58oj5LPNy3zCWuii2B_dtz3VgOcn7eutQanl2EM1EuNzwObWHv2y6gihyuFq4YcLbxbNX-3SGBlz1kSYy31t2omoap5UIzirUlUu5a2HPykH6F5-2zIjqptrYOEpixF/w512-h640/IMG_20210419_231521_301.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgBQvljUfBK102FF58oj5LPNy3zCWuii2B_dtz3VgOcn7eutQanl2EM1EuNzwObWHv2y6gihyuFq4YcLbxbNX-3SGBlz1kSYy31t2omoap5UIzirUlUu5a2HPykH6F5-2zIjqptrYOEpixF/s72-w512-c-h640/IMG_20210419_231521_301.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/sababu-ya-dili-ya-sabilo-kubuma-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/sababu-ya-dili-ya-sabilo-kubuma-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy