RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili 28 hadi Mei 02, ...
RAUNDI ya tano ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (16 bora) itapigwa mwishoni mwa mwezi huu kati ya Aprili 28 hadi Mei 02, kama ifuatavyo.
28/04/2021
Rhino Rangers vs Arusha FC.
29/04/2021
Biashara United vs Ruvu Shooting.
Azam FC vs Polisi Tanzania.
30/04/2021
Mwadui FC vs Coastal Union.
Tanzania Prisons vs Yanga SC.
01/05/2021
Dodoma Jiji vs KMC.
Simba SC vs Kagera Sugar.
02/05/2021
JKT Tanzania vs Namungo FC.
Awali mechi hizi zilipangwa kuchezwa kati ya 2-4 Aprili lakini ziliahirishwa kupisha kipindi cha maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Karume.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS