PEP GUARDIOLA ANAMHITAJI HAALAD NDANI YA MANCHESTER CITY
HomeMichezo

PEP GUARDIOLA ANAMHITAJI HAALAD NDANI YA MANCHESTER CITY

KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola inaelezwa kuwa amependekeza jina la mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haalad kusajili...


KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola inaelezwa kuwa amependekeza jina la mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Erling Haalad kusajiliwa katika kikosi hicho msimu ujao.

Haalad amekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa timu nyingi zinazoshiriki Ligi Kuu England ikiwa ni pamoja na Manchester United, Chelsea pia hata Real Madrid inayoshiriki La Liga nayo imekuwa ikitajwa.

City kwa sasa ipo mawindoni kumsaka mbadala wa mshambuliaji wao Sergio Arguero ambaye msimu ukimeguka anasepa kwenye kikosi hicho kwa kuwa taarifa rasmi kutoka ndani ya kikosi hicho zimeeleza kwamba hataongeza mkataba.

Dau ambalo wameweka mezani ili kumpata nyota huyo inaelezwa kuwa ni Euro milioni 100 licha ya Guardiola kuweka wazi kwamba wamekubaliana kutotumia dau kubwa kwa ajili ya mchezaji mmoja.

"Klabu imekubaliana kutotumia zaidi ya Euro milioni 100 kwa ajili ya kupata saini ya mchezaji mmoja, labda kwa wakati ujao ambapo inaweza kukubalika. Na itakuwa kwa ajili ya maelngo ya miaka 10 ama mitano mbele.

"Kutumia fedha nyingi kwa ajili ya mchezaji mmoja naona kwangu sio sawa kwa sababu hupati ushindi kupitia mchezaji mmoja bali timu kiujumla kwa namna inavyocheza. Mpira ni ushikrikiano kwa sababu kwenye mashindano kwa kila mmoja ambaye anafanya hivyo inakuwa rahisi kupata matokeo," amesema.

Haalad ametupia jumla ya mabao 33 akicheza jumla ya mechi 32 kwa msimu huu akiwa na umri wa miaka 20.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PEP GUARDIOLA ANAMHITAJI HAALAD NDANI YA MANCHESTER CITY
PEP GUARDIOLA ANAMHITAJI HAALAD NDANI YA MANCHESTER CITY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRJfe59AnRkj4xaGbxpnDuzgt0Z_nX35TABS0-CT05tP7bQB2OgPSlC0PDcS3R-1eETK7XEsMlsTfY9aZlPXljyatEYiuw4_6ZC0maCPhWfvm1DEmIpZlm90b383PrKzpHbaWqy4tjpJgf/w640-h412/haalad+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgRJfe59AnRkj4xaGbxpnDuzgt0Z_nX35TABS0-CT05tP7bQB2OgPSlC0PDcS3R-1eETK7XEsMlsTfY9aZlPXljyatEYiuw4_6ZC0maCPhWfvm1DEmIpZlm90b383PrKzpHbaWqy4tjpJgf/s72-w640-c-h412/haalad+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/pep-guardiola-anamhitaji-haalad-ndani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/pep-guardiola-anamhitaji-haalad-ndani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy