MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI, KUIVAA MTIBWA SUGAR
HomeMichezo

MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI, KUIVAA MTIBWA SUGAR

  MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC,  Prince Dube amerejea kazini rasmi baada ya kuwa nje kwa muda wa wiki mbili akitib...

 


MSHAMBULIAJI namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC,  Prince Dube amerejea kazini rasmi baada ya kuwa nje kwa muda wa wiki mbili akitibu majeraha ya nyama za paja.


Dube amekuwa na mwendo mzuri ndani ya uwanja akiwapa mabosi na mashabiki wake kile ambacho wanakitarajia kwa kuwa akishindwa kufunga basi atatoa pasi ya bao.


Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu George Lwandamina ikiwa imefunga mabao 34 baada ya kucheza mechi 24 yeye amehusika katika mabao 13.


Ni mabao 8 ameyatupia Dube na yote akiwa ndani ya 18 huku akitengeneza pasi 5, washakji zake Ayoub Lyanga, Obrey Chirwa na Idd Seleman wamekuwa wakizimalizia pasi zake za mwisho.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa Dube yupo kamili kuendelea kuwatumikia.


Huenda anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar ambao utachezwa Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 9 ambapo walipokutana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ubao ulisoma Mtibwa Sugar 1-0 Azam FC na ulikuwa ni mchezo wa Kwanza kwa Azam FC kupoteza msimu wa 2020/21.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI, KUIVAA MTIBWA SUGAR
MTAMBO WA MABAO AZAM FC WAREJEA KAZINI, KUIVAA MTIBWA SUGAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0ktDjpJMwHHAuTvwHiX2gC7Yk9MzW9SbwpTdRGXQkw35vt2qjdOW67wacz66XfPH1Im2meK3GYNbyrlYvggFotYXTr86XGPg7cZSIm_0PJ8iMc9nBhrVXCVVFztNRSeAbfEP1hfyqPhYG/w626-h640/IMG_20210401_070730_930.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0ktDjpJMwHHAuTvwHiX2gC7Yk9MzW9SbwpTdRGXQkw35vt2qjdOW67wacz66XfPH1Im2meK3GYNbyrlYvggFotYXTr86XGPg7cZSIm_0PJ8iMc9nBhrVXCVVFztNRSeAbfEP1hfyqPhYG/s72-w626-c-h640/IMG_20210401_070730_930.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mtambo-wa-mabao-azam-fc-warejea-kazini.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mtambo-wa-mabao-azam-fc-warejea-kazini.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy