KOCHA YANGA ATAJA WACHEZAJI WATAKAOPENYA KIKOSI CHA KWANZA
HomeMichezo

KOCHA YANGA ATAJA WACHEZAJI WATAKAOPENYA KIKOSI CHA KWANZA

  J UMA Mwambusi, Kaimu  Kocha Mkuu wa kikosi  cha Yanga amesema kuwa  kitu kikubwa ambacho  anakitazama kwa ajili ya  mchezaji atakayeanz...

MABOSI YANGA WANA IMANI KUBWA NA NABI,WAMPA MUDA
VIDEO:CHEKI NAMNA MATIZI YA MAKIPA SIMBA YALIVYOKUWA CHINI YA MBRAZIL
KOCHA MTIBWA SUGAR AOMBA WIKI MBILI

 JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa kikosi cha Yanga amesema kuwa kitu kikubwa ambacho anakitazama kwa ajili ya mchezaji atakayeanza kikosi cha kwanza ni kujituma mazoezini pamoja na nidhamu kiujumla.

 Mwambusi amekabidhiwa mikoba ya Cedric Kaze ambaye alifutwa kazi Machi 7, kwa kile kilichoelezwa kuwa mwendo mbovu wa vinara hao wa ligi wakiwa na pointi zao 50.


Mzawa huyo amesema kuwa kila mchezaji ana nafasi ya kuanza kikosi cha kwanza kwa sababu wachezaji wake wote ni sawa na wapenda kile ambacho wanakifanya.

 

“Kwa upande wa maandalizi ninaona kwamba kila kitu kinakwenda sawa. Ili kupata namba kikosi cha kwanza ni lazima mchezaji awe na juhudi mazoezini pamoja na nidhamu, hakuna mwenye uhakika wa namba kwa sasa.


"Nina amini kwamba hilo litasaidia na kutufanya tuweze kuwa na mwendo mzuri. Kupitia mazoezi ambayo tunayafanya tutazidi kuwa imara na tutafanya vizuri,".



Mchezo wao ujao kwenye ligi kwa Yanga ni dhidi ya KMC iliyo nafasi ya tano na pointi 35 utachezwa Uwanja wa Mkapa, mchezo wa mzunguko wa kwanza, ubao ulisoma KMC 1-2 Yanga.


Itakuwa ni Aprili 10 majira ya saa 1:00 usiku, mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba ubao ulisoma KMC 1-2 Yanga hivyo utakuwa ni mchezo wa ushindani kwa timu hizo za Dar.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA YANGA ATAJA WACHEZAJI WATAKAOPENYA KIKOSI CHA KWANZA
KOCHA YANGA ATAJA WACHEZAJI WATAKAOPENYA KIKOSI CHA KWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhytl1O5j9wzVhw21_h3nhc_b1PvdOsGnBcRgcUeIM1DmYL1yrfQ2yb1rJd2WtIMIcxVzqTrcE4-scEArQjmxkc74ZqW6WHASQ1OBEUWpY6rDMEQcUvhHJvckaMlutIhV6yFnndR3hQZHV0/w640-h640/Yacouba+tizi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhytl1O5j9wzVhw21_h3nhc_b1PvdOsGnBcRgcUeIM1DmYL1yrfQ2yb1rJd2WtIMIcxVzqTrcE4-scEArQjmxkc74ZqW6WHASQ1OBEUWpY6rDMEQcUvhHJvckaMlutIhV6yFnndR3hQZHV0/s72-w640-c-h640/Yacouba+tizi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kocha-yanga-ataja-wachezaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kocha-yanga-ataja-wachezaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy