KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA
HomeMichezo

KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA

KIPA namba moja wa Klabu ya Azam FC kwa sasa Mathias Kigonya anaendelea vizuri mara baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara...


KIPA namba moja wa Klabu ya Azam FC kwa sasa Mathias Kigonya anaendelea vizuri mara baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar.

Kuna asilimia kubwa kwamba kipa huyo huenda akaibuka kwenye mchezo wa ligi dhidi ya JKT Tanzania ikiwa hali yake itatengamaa.

Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Aprili 9, ubao ulisoma Azam FC 2-0 Mtibwa Sugar na mabao yote yalifungwa na Prince Dube ambaye ni kinara wa utupiaji akiwa na mabao 10.

Kigonya hakumaliza dakika 90 kwa kuwa alipata maumivu ya bega. Taarifa kutoka Azam FC zimeeleza kuwa nyota huyo anaendelea vizuri.

Ofisa Habari wa Azam FC, Thabit Zakaria amesema kuwa baada ya kupata maumivu alikuwa chini ya jopo la madaktari ambao walikuwa wanamshughulikia hali yake.

"Kila kitu kinakwenda sawa na Kigonya hali yake kwa sasa ni nzuri kwani anaendelea na matibabu huenda anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoanza dhidi ya JKT Tanzania, Aprili 16," .

Kwenye msimamo wa ligi, Azam FC ipo nafasi ya pili na ina pointi 47 baada ya kucheza jumla ya mechi 25 inakutana na JKT Tanzania iliyo nafasi ya 12 na pointi 27.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA
KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNqlVWWLL9g2kCr3scS62pGSdRxgsSONkcjlHwMwffsfMixs0Nekjrb3tVKs94bk9xfwWgeQHt1DQtcGHYPNJm3F5mj61Gzrm7AQf5npqiUU39pP0uwxn6u1FqPQRim5JLgQlRUNi_POkQ/w400-h378/Kigonya+na+mwalimu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNqlVWWLL9g2kCr3scS62pGSdRxgsSONkcjlHwMwffsfMixs0Nekjrb3tVKs94bk9xfwWgeQHt1DQtcGHYPNJm3F5mj61Gzrm7AQf5npqiUU39pP0uwxn6u1FqPQRim5JLgQlRUNi_POkQ/s72-w400-c-h378/Kigonya+na+mwalimu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kipa-namba-moja-wa-azam-fc-kuibukia-jkt.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kipa-namba-moja-wa-azam-fc-kuibukia-jkt.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy