JURGEN KLOPP HATA HAELEWI SABABU YA BEKI WAKE ALEXANDER-ARNOLD KUACHWA
HomeMichezo

JURGEN KLOPP HATA HAELEWI SABABU YA BEKI WAKE ALEXANDER-ARNOLD KUACHWA

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa amepata mshtuko baada ya nyota wake Trent Alexender-Arnold kutojumuishwa kweny...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Liverpool, Jurgen Klopp amesema kuwa amepata mshtuko baada ya nyota wake Trent Alexender-Arnold kutojumuishwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya England.

Alexander-Arnold amewekwa kando kwenye timu ya taifa ya England na inaonekana kwamba hatakuwa sehemu ya kikosi ambacho kitakuwa kwenye harakati za kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia katika mechi dhidi ya San Marino, Albania na Poland.

Klopp amesema kuwa bado hajaelewa maamuzi ya Kocha Mkuu wa England, Gareth Sothgate kwa kumuweka kando beki huyo.

Kwa sasa beki huyo amekuwa kwenye wakati mgumu uwanjani ambapo alikuwa kwenye janga la Corona jambo ambalo lilimfanya Klopp asiulize kwa nini aliachwa kwenye kikosi cha timu ya England, Novemba pia alikuwa anasumbuliwa na majeraha lakini kwa sasa anaonekana kuwa yupo fiti.

"Nimeshangazwa namna ambavyo hajawa kwenye kikosi, sikuwa na mpango naye mkubwa katika msimu huu kwa kuwa niliamini kwamba angekuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa, ila ajabu ni kwamba hajawa kwenye hicho kikosi jambo ambalo nimeshangaa.

"Huwa ninafanya maamuzi kila siku na inatokea kwamba watu wengine hawaelewi kile ambacho unakifanya. Ninaheshimu maamuzi ya Gareth ila sijaelewa sababu ya Alexaender-Arnold, bado ni kijana na ana uwezo pia," 






Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JURGEN KLOPP HATA HAELEWI SABABU YA BEKI WAKE ALEXANDER-ARNOLD KUACHWA
JURGEN KLOPP HATA HAELEWI SABABU YA BEKI WAKE ALEXANDER-ARNOLD KUACHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNOY8_CyopnFOGRdd4eeyDlywEiI8aRW4PNS9P62iDNLwmtv5NRg3-1c2CZjo1RyUVNX03IlxBTgnEClOtnuUQuR5tuOPCcg5vE6IlZCAQ-yvzKoJ7BpRcZk9I34dpFI-lXYKv8yQGiSip/w640-h428/Alexander+Taifa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNOY8_CyopnFOGRdd4eeyDlywEiI8aRW4PNS9P62iDNLwmtv5NRg3-1c2CZjo1RyUVNX03IlxBTgnEClOtnuUQuR5tuOPCcg5vE6IlZCAQ-yvzKoJ7BpRcZk9I34dpFI-lXYKv8yQGiSip/s72-w640-c-h428/Alexander+Taifa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jurgen-klopp-hata-haelewi-sababu-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jurgen-klopp-hata-haelewi-sababu-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy