JOSE MOURINHO AMPOTEZEA POGBA ISHU YAKE
HomeMichezo

JOSE MOURINHO AMPOTEZEA POGBA ISHU YAKE

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa hawezi kujali kuhusu yale ambayo anayasema kwa sasa kiungo wa Klabu ya Manche...


KOCHA Mkuu wa Klabu ya Tottenham, Jose Mourinho amesema kuwa hawezi kujali kuhusu yale ambayo anayasema kwa sasa kiungo wa Klabu ya Manchester United, Paul Pogba kuhusu yeye kuwa mkosoaji.

Pogba aliwahi kufundishwa na Mourinho katika kikosi cha Manchester United na walikuwa na mvutano wa mara kwa mara kabla ya kocha huyo kufutwa kazi na sasa United ipo chini ya Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer.

Kiungo huyo hivi karibuni alisema kuwa Mourinho alikuwa anatoa maelekezo na kukosoa pale ambapo wanashindwa kufanya hivyo kwa wakati jambo ambalo ni tofauti na kocha wao wa sasa namna anavyofanya kwa kuwa anakwenda nao sawa.


Pia kutokana na tofauti zao Mourinho alimvua kitambaa cha unahodha Pogba jambo ambalo liliongeza mvutano wake. Baada ya sare ya Tottenham kufungana mabao 2-2 dhidi ya Everton, Mourinho amesema kuwa ni masuala yake anayofikiria.  

Mourinho alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu maneno ya Pogba kupitia Sky Sports alisema:"Ninapenda kusema kwamba sijali kuhusu ambacho amekisema, sijavutiwa nacho katika yote,".

Pogba aliweza kunyanya taji la League Cup na Europa League katika msimu wa kwanza wa kufanya kazi na Mourinho ndani ya Manchester United.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JOSE MOURINHO AMPOTEZEA POGBA ISHU YAKE
JOSE MOURINHO AMPOTEZEA POGBA ISHU YAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6RPzCyJtzmbybukjFTYgBiYBL-Q1bMF64rRSN7syqhDv7OuxBEtGlwILzyXcRj4EUrayXVP0RLi7T62xE9HjTn_dF6vKxubrVP1G8zrs3uYsotyCPV7PfM2lwI_zRjsKtb9iaYYkaU3xB/w640-h432/Mourinho+stress.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6RPzCyJtzmbybukjFTYgBiYBL-Q1bMF64rRSN7syqhDv7OuxBEtGlwILzyXcRj4EUrayXVP0RLi7T62xE9HjTn_dF6vKxubrVP1G8zrs3uYsotyCPV7PfM2lwI_zRjsKtb9iaYYkaU3xB/s72-w640-c-h432/Mourinho+stress.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jose-mourinho-ampotezea-pogba-ishu-yake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/jose-mourinho-ampotezea-pogba-ishu-yake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy