AZAM FC BADO WAKOMALIA JAMBO LAO
HomeMichezo

AZAM FC BADO WAKOMALIA JAMBO LAO

 VIVIER Bahati Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado jambo lao lipo palepale licha ya jana, Aprili 22, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ubao ...

 VIVIER Bahati Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado jambo lao lipo palepale licha ya jana, Aprili 22, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ubao kusoma Dodoma Jiji 2-2 Azam FC.

Sare hiyo inakuwa ni ya 9 kwa msimu huu wa 2020/21 baada ya kucheza jumla ya mechi 27 huku jambo lao ikiwa ni kutwaa ubingwa wa ligi ulio mikononi mwa Simba. 

Ni Prince Dube alipachika bao la kuongoza dakika ya 2 lilidumu mpaka kipindi cha pili na kumfanya nyota huyo kufikisha jumla ya mabao 11 ndani ya ligi.

Dube anakuwa namba moja kwa utupiaji ndani ya Azam FC pamoja na kwenye ligi wakiwa sawa na nyota wa Simba, Meddie Kagere.



Kipindi cha pili mambo yalibadilika ambapo Seif Karihe aliweka usawa dakika ya 71 na likaongezwa la pili dakika ya 77 na Anuary Jabiry.

Shukran kwa Obrey Chirwa ambaye alipachika bao lake la kuipa pointi moja Azam FC dakika ya 90+5.

Kwenye msimamo wa ligi Azam FC ipo nafasi ya 3 na pointi zake ni 51 na Dodoma Jiji ipo nafasi ya 6 na pointi zake ni 38.

Bahati amesema:"Bado tunaendelea kupambana kwani malengo yetu ilikuwa kupata pointi tatu ila tumeshindwa kutokana na wapinzani wetu kupata mabao.

"Jambo letu lipo palepale tutaendelea kupambana kwa mechi ambazo zimebaki,".

Mchezo unaofuata kwa Azam FC ni dhidi ya Yanga ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 25 saa 2:15 usiku ambapo mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, ubao ulisoma Azam FC 0-1 Yanga.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC BADO WAKOMALIA JAMBO LAO
AZAM FC BADO WAKOMALIA JAMBO LAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvXWUYJYb0Ntl3trXFt0vo9n7hyphenhyphendwAHyhXbiBoIO_FQ_WKmvoIYdbiU4_aKjNoT911GSzYq8UPyfVRpuEL8_KRPIMXzWM2cpEgjvL1j2-mpR_iNaAOXURJQSz3_eLKyVTZP-sXfJIxYZNr/w630-h640/IMG_20210423_070345_840.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvXWUYJYb0Ntl3trXFt0vo9n7hyphenhyphendwAHyhXbiBoIO_FQ_WKmvoIYdbiU4_aKjNoT911GSzYq8UPyfVRpuEL8_KRPIMXzWM2cpEgjvL1j2-mpR_iNaAOXURJQSz3_eLKyVTZP-sXfJIxYZNr/s72-w630-c-h640/IMG_20210423_070345_840.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/azam-fc-bado-wakomalia-jambo-lao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/azam-fc-bado-wakomalia-jambo-lao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy