YANGA WATAJA SABABU YA KUMCHIMBISHA KAZE PAMOJA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI MAZIMA
HomeMichezo

YANGA WATAJA SABABU YA KUMCHIMBISHA KAZE PAMOJA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI MAZIMA

 MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi lao la...


 MWENYEKITI wa Kamati ya Ufundi ndani ya Klabu ya Yanga, Dominick Albinus amesema kuwa sababu kubwa iliyowafanya waachane na benchi lao la ufundi ni matokeo mabaya ambayo yalikuwa yakipatikana ndani ya uwanja.

Jana, Machi 7, benchi la ufundi la Yanga lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu, Cedriec Kaze, msaidizi wake Nizar Halfan, kocha wa viungo Edem Mortoisi, kocha wa makipa Vladimir Niyonkuru pamoja na Ofisa Usalama Mussa Mahundi walichimbishwa.

Mchezo wao wa mwisho ilikuwa mbele ya Polisi Tanzania, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ambapo ubao ulisoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga. Bao la Yanga lilifungwa mapema na Fiston Abdulazack likawekwa sawa na Pius Buswita dakika ya 89.

Mwenyekiti amesema:"Ilikuwa ni makubaliano kwetu na kila mmoja aliwa anajua kwamba tunahitaji kupata matokeo na mwisho wa siku tumekuwa tukipata matokeo mabovu ambayo hayapendezi.

"Ikiwa timu haipati matokeo wa kuwatazama ni benchi la ufundi kwa kuwa wao wanatambua kwamba namna gani inahitajika kufanyika ndani ya uwanja hivyo hii ni hatua ya mwanzo na kazi inaendelea kwa wachezaji kwa kuwa nao tumewaambia kwamba wao ni sababu.

"Wachezaji tumewaambia kwamba tumeondoa benchi la ufundi kwa kuwa hakuna matokeo na ikitokea na wao pia tukagundua kwamba hakuna ambaye anajituma basi itakuwa kazi kwake," amesema.

Kaze alisaini dili jipya ndani ya Yanga Oktoba 16 baada ya kutua usiku wa Oktoba 15 huku Nizar na Edem wakitua ndani ya Yanga Januari 27 na kufutwa kazi JMachi 7.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WATAJA SABABU YA KUMCHIMBISHA KAZE PAMOJA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI MAZIMA
YANGA WATAJA SABABU YA KUMCHIMBISHA KAZE PAMOJA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI MAZIMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8rikg0DA4EI77XYn4enF9CE6OiAzyQqwJb1V2uNqsHZIAkojizcNJattJ9SPFsLj7QLOFFcBLopoZRQZZsjlfptN7a3JokQZ_zqh-1QBhV0WwmxLUmX7OVgky-eA3nydYZ1GWyRJg2Hl2/w640-h584/Kaze+na+bosi.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8rikg0DA4EI77XYn4enF9CE6OiAzyQqwJb1V2uNqsHZIAkojizcNJattJ9SPFsLj7QLOFFcBLopoZRQZZsjlfptN7a3JokQZ_zqh-1QBhV0WwmxLUmX7OVgky-eA3nydYZ1GWyRJg2Hl2/s72-w640-c-h584/Kaze+na+bosi.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-wataja-sababu-ya-kumchimbisha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-wataja-sababu-ya-kumchimbisha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy