YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA
HomeMichezo

YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA

  KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kwa spidi ya aina yake katika kikosi hicho akiweka program ya kufanya mazoezi mara mbi...


 KAIMU Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi, ameanza kwa spidi ya aina yake katika kikosi hicho akiweka program ya kufanya mazoezi mara mbili kwa siku ikiwa ni maalum kujenga utimamu wa mwili.

 

Kocha huyo ameweka program hizo kwa mastaa wake ambazo alianza kuzifanyia kazi tangu Jumatatu ya wiki hii ikiwa ni baada ya kuona mapungufu ndani ya kikosi hicho.

 

Mwambusi alikabidhiwa mikoba ya kuinoa Yanga kwa mara nyingine baada ya uongozi wa timu hiyo kumvunjia mkataba aliyekuwa kocha wake, Cedric Kaze.

 

“Kwa siku hizi programu ambayo tunaifanya ni kufanya mazoezi mara mbili kwa siku, kisha Ijumaa tutafanya mara moja.

 

"Programu hii imelenga kurejesha utimamu wa mwili kwa wachezaji lakini pia kujenga uwezo wa pamoja kama timu kutokana na mapungufu ambayo yalionekana kwenye kikosi.

 

“Tunajiandaa kupambana na yeyote yule atakayekuja mbele yetu, kwani siku zote kocha unapoandaa timu huwa hatutazamii timu moja tu, natoa mazoezi ili ligi itakapoanza tuwe na uhakika wa kupata pointi tatu mbele ya yeyote.

 

"Hadi sasa nina imani kubwa endapo tutapata muda mrefu huu wa kuwa pamoja hakika tutakuwa na nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye mzunguko ujao,” alisema Mwambusi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA
YANGA KAZI INAENDELEA, WAPEWA PROGRAM MAALUMU KUWAREJESHA KWENYE UBORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQnyhIF5eGo3nVRnvCDDBwVB2Krc6J0nYjWbogQiGP1lbZNpcNv8dzI8r49rxXOHAF8PZt98x7RycMguUJHNMN6_VKN8gu4Pu5_vgD94CeAwqF3uwviXvYcL88jqCtY3pAV-qL7raI7jw6/w640-h604/Sarpong+na+Yacouba.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQnyhIF5eGo3nVRnvCDDBwVB2Krc6J0nYjWbogQiGP1lbZNpcNv8dzI8r49rxXOHAF8PZt98x7RycMguUJHNMN6_VKN8gu4Pu5_vgD94CeAwqF3uwviXvYcL88jqCtY3pAV-qL7raI7jw6/s72-w640-c-h604/Sarpong+na+Yacouba.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-kazi-inaendelea-wapewa-program.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-kazi-inaendelea-wapewa-program.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy