Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ajizuia kutumia anga ya Saudi Arabia akihofia shambulizi la makombora
HomeHabari

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ajizuia kutumia anga ya Saudi Arabia akihofia shambulizi la makombora

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema alizuiwa kusafiri kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia anga ya Saudi Arabia wiki ili...


Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema alizuiwa kusafiri kwenda Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia anga ya Saudi Arabia wiki iliyopita kutokana na kitisho cha kushambuliwa kwa kombora na waasi wa Iran walioko Yemen.

 Kauli hiyo imetolewa jana Jumamosi baada ya Netanyahu wiki iliyopita kuahirisha ziara yake kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu, kufuatia mzozo na jirani yake Jordan ambayo imefungia kwa muda ndege ya waziri mkuu huyo kutumia anga lake. 

Waziri mkuu huyo pia alishindwa kutumia anga ya Saudi Arabia akisema kulikuwa na changamoto wiki moja iliyopita, akikusudia shambulizi la kombora la hivi karibuni lililofanywa na waasi wa Houthi wa nchini Yemen. 

Hata hivyo Netanyahu hakutoa maelezo ya kina kuhusu matamshi hayo wala kueleza iwapo ndege yake ilikuwa ikilengwa na wanamgambo wa Houthi wanaoungwa mkono na Iran.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ajizuia kutumia anga ya Saudi Arabia akihofia shambulizi la makombora
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ajizuia kutumia anga ya Saudi Arabia akihofia shambulizi la makombora
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH-iBn6_Hey2lFjAOpa-NEXpyAQ_PWOaJrg0Na6395yxssVmuVE_10mScGBraZKvVDynyAh-psMtqsNLOMACRpYh1ThOq8z0ma6IUY2X7ARQeJDoo2dMzapoqbYsQEGX3XF8hxwOIEK925/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiH-iBn6_Hey2lFjAOpa-NEXpyAQ_PWOaJrg0Na6395yxssVmuVE_10mScGBraZKvVDynyAh-psMtqsNLOMACRpYh1ThOq8z0ma6IUY2X7ARQeJDoo2dMzapoqbYsQEGX3XF8hxwOIEK925/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waziri-mkuu-wa-israel-benjamin.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waziri-mkuu-wa-israel-benjamin.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy