Watanzania wasisitizwa kuendelea kuwa wamoja, Wapuuze Uzushi wa Mitandaoni
HomeHabari

Watanzania wasisitizwa kuendelea kuwa wamoja, Wapuuze Uzushi wa Mitandaoni

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushikamana na kuungana, wakati huu ambapo Taifa linapambana na magonjwa mbalimbali...

Tatizo la Kuishiwa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinjaa Limekuwa Tatizo Kwa Wanaume Wengi ...Soma Hapa
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo April 7
Waliochoma chanjo ya corona tu ndio wataruhusiwa kuhiji Mecca mwaka huu

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kushikamana na kuungana, wakati huu ambapo Taifa linapambana na magonjwa mbalimbali na kuacha kusikiliza taarifa za uzushi zinazotolewa na baadhi ya watu.

Makamu wa Rais ametoa rai hiyo wakati akizungumza na Wanachi waliojitokeza kumpokea kwenye mji mdogo wa Makata wilayani Handeni, akiwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku sita mkoani Tanga.

Amewataka Watanzania kushikamana na kuachana na taarifa za uzushi zinayotolewa na baadhi ya watu wasiolitakia mema Taifa, na badala yake waendelee kujenga umoja wa Kitaifa.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan pia amewataka Watanzania kuendelea kuchapa kazi na kuwahakikishia kuwa Taifa liko imara na salama.

Makamu wa Rais ameanza ziara ya siku sita mkoani Tanga, ambapo tayari amezindua jengo la ofisi za halmashauri ya wilaya ya Handeni katika eneo la Makata.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watanzania wasisitizwa kuendelea kuwa wamoja, Wapuuze Uzushi wa Mitandaoni
Watanzania wasisitizwa kuendelea kuwa wamoja, Wapuuze Uzushi wa Mitandaoni
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbRiq2gI102iS7lfwmpFvLsHHBdjtvQjzdZz_YoL4urz7fc3LSFx-A18Kbmk8PFfiDMJ2KBacfIo31xrkOL5PkYqAb5Aji4_FCJoPY1GDxNJWht3v-zcCgt73-virVXjBPRu4SY0fBk-Vx/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjbRiq2gI102iS7lfwmpFvLsHHBdjtvQjzdZz_YoL4urz7fc3LSFx-A18Kbmk8PFfiDMJ2KBacfIo31xrkOL5PkYqAb5Aji4_FCJoPY1GDxNJWht3v-zcCgt73-virVXjBPRu4SY0fBk-Vx/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/watanzania-wasisitizwa-kuendelea-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/watanzania-wasisitizwa-kuendelea-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy