WAPINZANI WA SIMBA AS VITA KUJA BONGO MAPEMA
HomeMichezo

WAPINZANI WA SIMBA AS VITA KUJA BONGO MAPEMA

 KOCHA Msaidizi wa Klabu ya AS Vita ya DR Congo, Raoul Shungu amesema kuwa watawahi mapema kuja Tanzania kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi y...


 KOCHA Msaidizi wa Klabu ya AS Vita ya DR Congo, Raoul Shungu amesema kuwa watawahi mapema kuja Tanzania kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba.

AS Vita inatarajiwa kumenyana na Simba Aprili 3, Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo wa kwanza walipokutana Congo, Simba ilishinda bao 1-0 ambalo lilifungwa na Chris Mugalu kwa mkwaju wa penalti na kuifanya Simba kusepa na pointi tatu mazima.

Ikiwa Simba ipo nafasi ya kwanza kwenye kundi A na pointi zake 10 inatarajiwa kumenyana na AS Vita iliyo nafasi ya tatu na pointi zake nne.

Kocha huyo amesema:"Mchezo wetu dhidi ya Simba utakuwa na ushindani mkubwa hivyo ili tupate matokeo chanya ni lazima tuwahi kufika eneo la tukio kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho.

"Wachezaji wetu wanatambua kwamba haitakuwa kazi rahisi hasa ukizingatia kwamba Simba imekuwa ikipata matokeo chanya kwenye mechi zake inazocheza nyumbani," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WAPINZANI WA SIMBA AS VITA KUJA BONGO MAPEMA
WAPINZANI WA SIMBA AS VITA KUJA BONGO MAPEMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEFmSDAcIy4vjU6s2A9uqFlh2fn-rCwiUsSPqhuii8ltOYCqgu6j88PDeKGUxQ3viABxabVG_uxpZMs5Zhzx67Zdw9EdbNtxVL95Dwk-AR0z1PWZZOYHXjOZvgKF9c7YF0SDuyiOQTIo0G/w640-h360/Kahata+v+AS+Vita.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjEFmSDAcIy4vjU6s2A9uqFlh2fn-rCwiUsSPqhuii8ltOYCqgu6j88PDeKGUxQ3viABxabVG_uxpZMs5Zhzx67Zdw9EdbNtxVL95Dwk-AR0z1PWZZOYHXjOZvgKF9c7YF0SDuyiOQTIo0G/s72-w640-c-h360/Kahata+v+AS+Vita.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/wapinzani-wa-simba-as-vita-kuja-bongo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/wapinzani-wa-simba-as-vita-kuja-bongo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy