Wanafamilia Watano Wanaodaiwa Kufariki Wakati Wa Kuaga Mwili Wa Hayati Dr Magufuli Kuzikwa Leo Dar es Salaam
HomeHabari

Wanafamilia Watano Wanaodaiwa Kufariki Wakati Wa Kuaga Mwili Wa Hayati Dr Magufuli Kuzikwa Leo Dar es Salaam

 Mbunge wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu na mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori wameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya mazishi y...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 7, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba Kaskazini Unguja
TAAWANU yazindua rasmi zoezi la ugawaji bure wa vitanda elfu 60 kwenye hospitali nchini Tanzania

 Mbunge wa Kibamba (CCM), Issa Mtemvu na mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisare Makori wameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya mazishi ya familia ya ndugu watano wanaodaiwa kufariki kwa kukanyagwa katika shughuli ya kuaga mwili wa marehemu  John Magufuli katika uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.


Ndugu hao wa familia ya Daudi Mtuwa ni  Susan Mtuwa na watoto wake wawili Nathan (6) na Natalia (5) pamoja na watoto wengine wawili Cris (11) na Michelle (8) wa shemeji zake Susan walifariki dunia katika shughuli hiyo iliyofanyika Jumapili Machi 21, 2021.

Akizungumza katika maombolezo hayo, Mtemvu amesema kuwa kazi ya Mungu haina makosa na kila kifo kina sababu zake.

Watoto hao wanatarajia kuzikwa leo saa 10 jioni eneo la nyumbani kwa Mtuwa, Kimara mkoani Dar es Salaam.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wanafamilia Watano Wanaodaiwa Kufariki Wakati Wa Kuaga Mwili Wa Hayati Dr Magufuli Kuzikwa Leo Dar es Salaam
Wanafamilia Watano Wanaodaiwa Kufariki Wakati Wa Kuaga Mwili Wa Hayati Dr Magufuli Kuzikwa Leo Dar es Salaam
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlb_froe1cUos7x08gdjSwAC0b0MDEXk63Mfu-tBZwkZuGmYSQbKREoLKTnsLZ8ptHFljfIlVW0kgRtJZQDJvgxKhpLsfPJptTQBuKzfq9nbS2iL8XybJjXaVCwR_a1ME1Vp8riDRoVbGz/s0/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlb_froe1cUos7x08gdjSwAC0b0MDEXk63Mfu-tBZwkZuGmYSQbKREoLKTnsLZ8ptHFljfIlVW0kgRtJZQDJvgxKhpLsfPJptTQBuKzfq9nbS2iL8XybJjXaVCwR_a1ME1Vp8riDRoVbGz/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/wanafamilia-watano-wanaodaiwa-kufariki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/wanafamilia-watano-wanaodaiwa-kufariki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy