SIMBA V PRISONS UWANJA WA MKAPA NI VITA YA KISASI
HomeMichezo

SIMBA V PRISONS UWANJA WA MKAPA NI VITA YA KISASI

 MACHI 10, Uwanja wa Mkapa kutakuwa na vita ya kusaka pointi tatu, kati ya Simba dhidi ya Prisons. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushinda...


 MACHI 10, Uwanja wa Mkapa kutakuwa na vita ya kusaka pointi tatu, kati ya Simba dhidi ya Prisons.

Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja baada ya ule wa kwanza, Simba wakiwa ugenini kuonja joto ya jiwe kwa kufungwa zama zile za Sven Vandenbroeck.

Ikiwa Uwanja wa Nelson Mandela baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Tanzania Prisons 1-0 Simba na ulikuwa ni mchezo wa kwanza kwa Simba kupoteza msimu wa 2020/21.

Itawakaribisha Uwanja wa Mkapa, Machi 10 huku timu zote mbili zikiwa na uhitaji wa kupata pointi tatu muhimu.

Kwenye msimamo, Simba po nafasi ya pili na pointi zake ni 45 baada ya kucheza jumla ya mechi 19 inawakaribisha Prisons ambao wapo nafasi ya 10 na pointi 27 baada ya kucheza jumla ya mechi 21.



Salum Kimenya, kiraka wa Tanzania Prisons amesema kuwa wanahitaji pointi tatu muhimu ili kuweza kufikia malengo ambayo wamejiwekea.

"Muhimu kwenye mechi zetu zote ambazo tutaingia ndani ya uwanja ni kusaka pointi tatu kwa kuwa kila mmoja anahitaji kufikia malengo ambayo yapo.

"Kikubwa ni kwamba kila timu ni imara na inahitaji ushindi hiyo ipo hata kwetu pia mashabiki watupe sapoti kila kitu kitakuwa sawa," .

Kwa upande wa Simba, nyota wao Shomari Kapombe amesema kuwa watazidi kupambana ili kufikia malengo na wanaamini kwamba mzunguko wa pili una ushindani mkubwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA V PRISONS UWANJA WA MKAPA NI VITA YA KISASI
SIMBA V PRISONS UWANJA WA MKAPA NI VITA YA KISASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilmpHtAhOmU_wUyAlMnD0jwrxRpv3Li_dacWhwluoH0UZz6F9dY5Eqaqca27SEOuqxNMS_PxA544oOJRrlbObXXA083LF8xJNHysAAIZq0u_Vc5ZWmUfMSpz-PNvtIN3lgRk94La3Kguvv/w534-h640/kimenya.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEilmpHtAhOmU_wUyAlMnD0jwrxRpv3Li_dacWhwluoH0UZz6F9dY5Eqaqca27SEOuqxNMS_PxA544oOJRrlbObXXA083LF8xJNHysAAIZq0u_Vc5ZWmUfMSpz-PNvtIN3lgRk94La3Kguvv/s72-w534-c-h640/kimenya.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-v-prisons-uwanja-wa-mkapa-ni-vita.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-v-prisons-uwanja-wa-mkapa-ni-vita.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy