SIMBA: AL MERRIKH HATOKI KWA MKAPA
HomeMichezo

SIMBA: AL MERRIKH HATOKI KWA MKAPA

 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kwa namna ambavyo kikosi kimejipanga licha ya kwamba watakosa huduma ya mchezaji wao namb...


 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa kwa namna ambavyo kikosi kimejipanga licha ya kwamba watakosa huduma ya mchezaji wao namba 12 wana imani wataibuka na ushindi mbele ya Al Merrikh.

Simba itamenyana na Al Merrikh, Machi 16, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi. Mchezaji wao namba 12 ambaye ni shabaki amezuiwa kuingia na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf).

Manara amesema kuwa wanatambua kwamba umuhimu wa mashabiki ndani ya uwanja ni mkubwa ila itakuwa ngumu kwa Wasudan hao kutoka salama Uwanja wa Mkapa.

"Naamini kwamba kwa namna wachezaji ambavyo wamejipanga na maandalizi ambayo yanaendelea itakuwa ngumu kwa Wasudan kutoka salama kwa Mkapa.

"Pale alikuja Al Ahly tulimshinda, alikuja AS Vita tulimpiga sasa ni zamu ya Al Merrikh na maombi yetu na imani yetu ni kupata ushindi hakuna jambo jingine.

"Tutacheza bila mashabiki haina tatizo licha ya kwamba mashabiki ni mastaa wetu namba moja na wamekuwa nasi kila hatua hakuna namna haya ni masuala ya mamlaka huwezi kupingana nayo.

"Lakini tukija kwenye uhalisia tunahitaji pointi tatu, kwa Mkapa tuna pointi zetu 9 ambazo tunazihitaji tayari tumechukua tatu hivyo bado kazi inaendelea," amesema.  

Kwenye kundi A, Simba inaongoza ikiwa na pointi 7 inakutana na Al Merrikh ambayo ina pointi moja kibindoni. Wapinzani wao tayari wameshatua timu Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA: AL MERRIKH HATOKI KWA MKAPA
SIMBA: AL MERRIKH HATOKI KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX41NJFsW-nL5SR50uc8OfMHsVpy1Zx-zRER5RzxLceB5Hz4l-iYm70LJdNXJkmFl5RZTTrOD-cyKbB9o_30ZeB7cIZs-XWqjKlAl40XcPz8tYt8pk77MMjILNXMCEPE5tcoMZPWpd7VHS/w640-h460/Mugalu+kimataifa.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgX41NJFsW-nL5SR50uc8OfMHsVpy1Zx-zRER5RzxLceB5Hz4l-iYm70LJdNXJkmFl5RZTTrOD-cyKbB9o_30ZeB7cIZs-XWqjKlAl40XcPz8tYt8pk77MMjILNXMCEPE5tcoMZPWpd7VHS/s72-w640-c-h460/Mugalu+kimataifa.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-al-merrikh-hatoki-kwa-mkapa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/simba-al-merrikh-hatoki-kwa-mkapa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy