PRINCE DUBE: NI MIPANGO YA MUNGU
HomeMichezo

PRINCE DUBE: NI MIPANGO YA MUNGU

 NYOTA wa kikosi cha Azam FC Prince Dube amesema kuwa yote yanatokea kwa kuwa ni mipango ya Mungu jambo ambalo anashukuru kila wakati. Nd...

DUH! MVUA YAIPONZA KMC ISHINDWE KUPATA USHINDI
SIMBA YAPIGA HESABU KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED
MAJERAHA KUMUWEKA NJE POGBA NDANI YA MANCHESTER UNITED

 NYOTA wa kikosi cha Azam FC Prince Dube amesema kuwa yote yanatokea kwa kuwa ni mipango ya Mungu jambo ambalo anashukuru kila wakati.

Ndani ya Azam FC, Dube ni kinara wa utupiaji akiwa ametupia jumla ya mabao 8 katika Ligi Kuu Bara huku kinara wa ujumla akiwa ni John Bocco wa Simba na Meddie Kagere naye pia wa Simba hawa wametupia mabao 9.

Kasi yake ilipungua kwa kuwa alipata majeraha jambo ambalo limemfanya acheze jumla ya mechi 18 za Azam FC kati ya 24 ambazo timu hiyo inayonolewa na George Lwandamina imecheza.

Amekosekana kwenye mechi sita na ametoa jumla ya pasi tano za mabao hivyo jumla amehusika kwenye mabao 13 kati ya mabao 34 ambayo yamefungwa.

Dube amesema:"Yote yanatokea kwa sababu ya mipango ya Mungu, ninawashukuru wote ambao wananiombea na kunikumbuka pia, nitazidi kupambana,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PRINCE DUBE: NI MIPANGO YA MUNGU
PRINCE DUBE: NI MIPANGO YA MUNGU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIl_D2tLGj5p8lWW3Q463pK3p4lEO3CuUI2vPzXt3H8LuUGnHg8VAmKrPVjaQGPCif2j68BL9ZIv4TNA-qg5hSWk-v7jLrVLrvZ3RYRPcJlgs5tppqLcJ_bJVj0nxmhSSrtR2mtjvDQO-1/w574-h640/Dube+para.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhIl_D2tLGj5p8lWW3Q463pK3p4lEO3CuUI2vPzXt3H8LuUGnHg8VAmKrPVjaQGPCif2j68BL9ZIv4TNA-qg5hSWk-v7jLrVLrvZ3RYRPcJlgs5tppqLcJ_bJVj0nxmhSSrtR2mtjvDQO-1/s72-w574-c-h640/Dube+para.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/prince-dube-ni-mipango-ya-mungu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/prince-dube-ni-mipango-ya-mungu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy