NYOTA WAWILI TAIFA STARS WAUMIA, NCHIMBI NA BRYSON
HomeMichezo

NYOTA WAWILI TAIFA STARS WAUMIA, NCHIMBI NA BRYSON

  KIKOSI cha Taifa Stars kikiwa kinaendelea na maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na za kufuzu AFCON dhidi ya Libya na Equator...


 KIKOSI cha Taifa Stars kikiwa kinaendelea na maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na za kufuzu AFCON dhidi ya Libya na Equatorial Guinea, nyota Ditram Nchimbi anatibu majeraha.

Mshambuliaji huyo pamoja na David Bryson wote wawili wanatibu nyama za paja.

 

Daktari wa Taifa Stars, Richard Yombo, amesema: “Wachezaji wawili wamepata majeraha ya nyama za paja ambao ni Ditram Nchimbi na David Bryson,".

 

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen, amesema: “Tunashukuru Shirikisho kwa kutuwekea mechi mbili za maandalizi dhidi ya Kenya kabla ya kuvaana na Equatorial Guinea


“Kikubwa tumefanyia kazi kuanzia eneo la ulinzi, kiungo na ushambuliaji ili kupata matokeo mazuri katika michezo ya kufuzu.”

 

Taifa Stars ikiwa Kundi J, inashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi nne. Vinara ni Tunisia wenye kumi, huku Equatorial Guinea wakiwa na sita, wakati Libya wakishika nafasi ya mwisho kwa kuwa na pointi tatu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WAWILI TAIFA STARS WAUMIA, NCHIMBI NA BRYSON
NYOTA WAWILI TAIFA STARS WAUMIA, NCHIMBI NA BRYSON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguFBVCCpfNXINXr_1g6nybA12JlSTtVFVDEYfFwd5UaVxKkyWRzy47SrWUaRhqqYcZTbAbzZPxJBuK0t-6eONN5RxTEcSFH1lMcyAMAJan4pTJdj5WP2JeOG4dRRtuKAoIx-ch9d_x6rXh/w640-h408/Nchimbi+Stars+tena.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEguFBVCCpfNXINXr_1g6nybA12JlSTtVFVDEYfFwd5UaVxKkyWRzy47SrWUaRhqqYcZTbAbzZPxJBuK0t-6eONN5RxTEcSFH1lMcyAMAJan4pTJdj5WP2JeOG4dRRtuKAoIx-ch9d_x6rXh/s72-w640-c-h408/Nchimbi+Stars+tena.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/nyota-wawili-taifa-stars-waumia-nchimbi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/nyota-wawili-taifa-stars-waumia-nchimbi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy