Mwingine Akamatwa Iringa Kwa Kuzusha Kuumwa Kwa Rais Magufuli
HomeHabari

Mwingine Akamatwa Iringa Kwa Kuzusha Kuumwa Kwa Rais Magufuli

 ​​​​​​​JESHI la Polisi mkoani Iringa, limemkamata mkulima wa kijiji cha Kibengu, Wilaya ya Mufindi mkoani hapa, Augustino Kiliwa (26), kwa...

 ​​​​​​​JESHI la Polisi mkoani Iringa, limemkamata mkulima wa kijiji cha Kibengu, Wilaya ya Mufindi mkoani hapa, Augustino Kiliwa (26), kwa tuhuma za kuchapisha kwenye ukurasa wake wa Facebook taarifa za uzushi za kuumwa kwa Rais Dk. John Magufuli.

Msaidizi wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Rienda Millanzi, alisema mtuhumiwa huyo alichapisha  taarifa hizo Machi 11, mwaka huu, kwenye ukurasa wake huo kinyume na sheria.

"Aliandika ujumbe ambao ulileta taharuki na wenye mihemko ndani ya jamii kuhusu afya ya Rais Magufuli,” alisema Malliza aliyezungumza kwa niaba ya Kamanda wa mkoa huo, Juma Bwire.

Alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 13, mwaka huu, majira ya saa saba mchana katika kijiji cha Kibengu, kupitia kikosi maalum cha polisi kinachoshughulika na makosa ya mtandao.

Pia alisema upelelezi wa tukio hilo unaendelea na baada ya kukamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.

Kwa mujibu wa kamanda, Jeshi la Polisi litaendelea kuchukua hatua kali kwa kuwakamata wanaosambaza taarifa za uongo sio kwa Rais Magufuli, bali zozote zitakazobainika ni za uongo.

Kadhalika, jeshi hilo limewataka wananchi kujiepusha na kuchapisha ama kusambaza mitandaoni taarifa ambazo hawana mamlaka nazo kwa kuwa kwa kufanya hivyo ni kinyume cha kifungu namba 14 cha Sheria ya Makosa ya  Mtandaoni.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mwingine Akamatwa Iringa Kwa Kuzusha Kuumwa Kwa Rais Magufuli
Mwingine Akamatwa Iringa Kwa Kuzusha Kuumwa Kwa Rais Magufuli
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG8Qp_0PPsIvbhh0vcugGfWuAukqutqNS0g1ZKgJ3o_X3_ZIVMxbDpQlQ2CK-3H6oEe4gopFQ1qSJD0C91AOm_nuTYNFZyu3fX8ZUJOGMHz3cZrzaJOuJUTxI7VUvFgh3YtPLcLVzEwVWS/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiG8Qp_0PPsIvbhh0vcugGfWuAukqutqNS0g1ZKgJ3o_X3_ZIVMxbDpQlQ2CK-3H6oEe4gopFQ1qSJD0C91AOm_nuTYNFZyu3fX8ZUJOGMHz3cZrzaJOuJUTxI7VUvFgh3YtPLcLVzEwVWS/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mwingine-akamatwa-iringa-kwa-kuzusha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mwingine-akamatwa-iringa-kwa-kuzusha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy