MWAMBUSI ATAKIWA KUBAKI YANGA JUMLA
HomeMichezo

MWAMBUSI ATAKIWA KUBAKI YANGA JUMLA

  WACHEZAJI wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jemba Ulaya’ na Adolf Rishard wamesema kuwa kama klabu hiyo inataka mafanikio msimu huu, ni...


 WACHEZAJI wa zamani wa Yanga, Bakari Malima ‘Jemba Ulaya’ na Adolf Rishard wamesema kuwa kama klabu hiyo inataka mafanikio msimu huu, ni vema wamuache kocha wa muda wa timu hiyo, Juma Mwambusi amalize msimu akiwa anakiongoza kikosi hicho.

 

Hoja kubwa ya wakongwe hao ambao ni walimu wa soka kwa sasa wanadai kuwa Mwambusi anaifahamu Yanga vizuri kwa kuwa siyo mara yake ya kwanza anakaa kwenye benchi la timu hiyo, hivyo uzoefu wake utasaidia kurekebisha makosa na kurudisha makali ya timu hiyo ambayo bado ipo kileleni.

 

Malima amesema:- “Kwanza naupongeza uongozi wa Yanga kwa kumrudisha Mwambusi kwenye benchi, kwa sababu ni kocha ambaye anaifahamu vizuri timu kwa sababu ameshakaa hapo kwa mara kadhaa, hivyo nadhani kama wangempa timu aende nayo hadi mwisho wa msimu anaweza akaipa mafanikio.


Kwa upande wa Adolf ambaye ni kocha wa zamani wa Tanzania Prisons, amesema:- “Ni sawa kumrudisha Mwambusi kwa sababu ni kocha ambaye ana sifa na uwezo mkubwa kwa hapa Tanzania lakini kubwa zaidi amekaa na ile timu mwanzoni mwa msimu, anawajua wachezaji wote, hivyo naona kama wangemuacha amalize msimu ingekuwa kitu bora zaidi,".

 

Mwambusi amerejeshwa Yanga, mara baada ya timu hiyo kutimua benchi lote la ufundi na yeye amekabidhiwa timu mpaka pale kocha mpya atakapopatikana. Mwambusi aliondoka kwenye timu hiyo kwa matatizo ya kiafya na nafasi yake ilichukuliwa na Nizar Khalfan ambaye naye ametimuliwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWAMBUSI ATAKIWA KUBAKI YANGA JUMLA
MWAMBUSI ATAKIWA KUBAKI YANGA JUMLA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGBhLpdJ1ayMhZ_L6oSg7OtilciVIRNk-6422W-Wuv3W7a5pXP9kN5RuqGzHlgaF1T7Mcre3D3vahCbbbZbfQzTYGOOTFLIFsw27rehnPH4IYVwGv6bK1yBxiYHb4N6VdCZ_GTY2o9KNx2/w572-h640/Mwambusi+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGBhLpdJ1ayMhZ_L6oSg7OtilciVIRNk-6422W-Wuv3W7a5pXP9kN5RuqGzHlgaF1T7Mcre3D3vahCbbbZbfQzTYGOOTFLIFsw27rehnPH4IYVwGv6bK1yBxiYHb4N6VdCZ_GTY2o9KNx2/s72-w572-c-h640/Mwambusi+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mwambusi-atakiwa-kubaki-yanga-jumla.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mwambusi-atakiwa-kubaki-yanga-jumla.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy