MRUNDI WA YANGA ATAJA WACHEZAJI WAKE ALIOWASAJILI
HomeMichezo

MRUNDI WA YANGA ATAJA WACHEZAJI WAKE ALIOWASAJILI

  CEDRIC Kaze, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga na kufutwa kazi Machi 7,2021 baada ya ubao kusoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga amesema kuwa ali...

BREAKING: TFF YATOA TAMKO KUHUSU SIMBA V YANGA
YANGA: WANABAHATI, WANGEKUFA NYINGI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

 


CEDRIC Kaze, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga na kufutwa kazi Machi 7,2021 baada ya ubao kusoma Polisi Tanzania 1-1 Yanga amesema kuwa alihusika kwenye usajili wa nyota watatu ndani ya Yanga.


Kaze ambaye ni raia wa Burundi aliibuka ndani ya Yanga kurithi mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye yeye aliongoza kwenye mechi tano na alishinda mechi nne na sare moja ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons.

Katika usajili ambao anasema kuwa alipendekeza na kuweza kuwasajili wachezaji hao ni Saido Ntibanzokiza ambaye ni kiungo mshambuliaji, Fiston Abdulazack ambaye ni mshambuliaji hawa wote ni raia wa Burundi.

Kwa upande wa wazawa anasema kuwa alipendekeza usajili wa beki Dickson Job kutoka Mtibwa Sugar ili kuongeza nguvu kwenye ulinzi.

"Nilipendekeza wachezaji watatu ambao walisajiliwa ndani ya Yanga hao waliweza kuwa ndani ya kikosi ila haikuwa katika mapendekezo yangu kwa asilimia kubwa.

"Wengi niliwakuta kwenye kikosi hivyo niliendelea kupambana nao na kwenda nao katika hali ambayo nilikuwa nahitaji kwenda nao,".

Kocha huyo ambaye alikiongoza kikosi kwenye jumla ya mechi 18 za Ligi Kuu Bara alishinda 10, sare 7 na alipoteza mechi moja kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union anaiacha timu ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 50.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MRUNDI WA YANGA ATAJA WACHEZAJI WAKE ALIOWASAJILI
MRUNDI WA YANGA ATAJA WACHEZAJI WAKE ALIOWASAJILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHJVncEHMFi2ass_akw1Qkm4HQQsVZAFgRvCe7gF6khDwUPknV7D0LhwceR2DJ_rDBAG3ALWmDDiK9iJ_FxVbwGv_Jyug67eqAZ6LO7rZx3L1zSFhbN1qL0tjmDXu3jGA7F75jsd3tj4V0/w640-h640/IMG_20210313_081623_218.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHJVncEHMFi2ass_akw1Qkm4HQQsVZAFgRvCe7gF6khDwUPknV7D0LhwceR2DJ_rDBAG3ALWmDDiK9iJ_FxVbwGv_Jyug67eqAZ6LO7rZx3L1zSFhbN1qL0tjmDXu3jGA7F75jsd3tj4V0/s72-w640-c-h640/IMG_20210313_081623_218.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mrundi-wa-yanga-ataja-wachezaji-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mrundi-wa-yanga-ataja-wachezaji-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy