MFARANSA WA SIMBA AWAANDAA WACHEZAJI WAKE KUPIGA PENALTI
HomeMichezo

MFARANSA WA SIMBA AWAANDAA WACHEZAJI WAKE KUPIGA PENALTI

  DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wote ikiwa ni pamoja na Luis Miquissone ambaye ni kiungo pamoja na Chris M...


 DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wote ikiwa ni pamoja na Luis Miquissone ambaye ni kiungo pamoja na Chris Mugalu ambaye ni mshambuliaji huwa wanafanya mazoezi maalumu ya kupiga penalti.

Mugalu alikosa penalti kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Tanzania Prisons ambapo ilikwama kwenye mikono ya kipa wa Prisons, Jeremiah Kisubi.

Kwa sasa Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mbele ya AS Vita ambao ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

Gomes raia wa Ufaransa ameliambia Spoti Xtra kuwa anawaandaa wachezaji wake wote wawe imara kwa ajili ya matumizi ya mipira ya kutengwa ili waweze kupata matokeo chanya.

“Nimekuwa nikiwaambia kwamba jukumu la kupiga mipira ya kutengwa ni ya kila mchezaji, awe ni Luis, Mugalu ama Chama (Clatous) ni jukumu la timu na ni jambo ambalo tumekuwa tukifanyia mazoezi.

“Lengo la kuwapa mazoezi hayo ni kuona kwamba tunaweza kufunga kwa namna yoyote ile iwe ni kwa kutengeneza njia za kufunga ama kufunga kwa mipira ya kutengwa,” alisema.

Pia hata Chama naye alikosa penalti kwenye mchezo wa ligi mbele ya Azam FC kwenye sare ya kufungana mabao 2-2, Uwanja wa Mkapa.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MFARANSA WA SIMBA AWAANDAA WACHEZAJI WAKE KUPIGA PENALTI
MFARANSA WA SIMBA AWAANDAA WACHEZAJI WAKE KUPIGA PENALTI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEia6DfX8gHRqla29TnGkki8NKEWnzNS8cp1nfs3AlMRc9FZJesmQWyWmxcd_q1oT4XrsdOT9e591PxEvV5tv8IX98sMCvk2B71BdAzL-g_AGCG4WKkjBV8-ED_BaBeg_VugY6VwCi2nrGMg/w616-h640/Chama+na+Dube.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEia6DfX8gHRqla29TnGkki8NKEWnzNS8cp1nfs3AlMRc9FZJesmQWyWmxcd_q1oT4XrsdOT9e591PxEvV5tv8IX98sMCvk2B71BdAzL-g_AGCG4WKkjBV8-ED_BaBeg_VugY6VwCi2nrGMg/s72-w616-c-h640/Chama+na+Dube.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mfaransa-wa-simba-awaandaa-wachezaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mfaransa-wa-simba-awaandaa-wachezaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy