MBELGIJI WA SIMBA AMLILIA MAGUFULI
HomeMichezo

MBELGIJI WA SIMBA AMLILIA MAGUFULI

 SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa zamani wa Klabu ya Simba amesema kuwa kuondoka kwa Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli ni pigo kwa...


 SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa zamani wa Klabu ya Simba amesema kuwa kuondoka kwa Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli ni pigo kwa Tanzania na dunia jambo ambalo anatoa pole.

Vandenbroeck raia wa Ubelgiji alikuwa ndani ya Simba zama za utawala wa Magufuli na alishuhudia namna maendeleo ya soka yalivyokuwa yakipambaniwa na watendaji kazi wa Magufuli.

Kwa sasa yupo zake nchini Morocco akiendelea na majukumu yake baada ya kubwaga manyanga ndani ya Simba , Januari, 2021.

Kocha huyo amesema:"Pole Tanzania ni machozi kwetu pia kwa kuondoka kwake, pole Tanzania, pumzika kwa amani Magufuli," .

Vandenbroeck alihudumu Simba kwa msimu mmoja ambapo alitwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20 baada ya kumaliza kazi iliyoanzishwa na Patrick Aussems, aliipa pia Kombe la Shirikisho pamoja na ngao ya jamii.

Pa aliipeleka Simba hatua ya makundi na mchezo wake wa mwisho alishinda mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBELGIJI WA SIMBA AMLILIA MAGUFULI
MBELGIJI WA SIMBA AMLILIA MAGUFULI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmMLPkxjalk_NnraX6JKs0dloJTTXmEsxzqM6ly8uuv3ZYUKSNup5nby4mYEtoEEp4LWAnAXPc87kjVnf3VEyywbvH7rg8VMUxrWCEkhuM4EBvBHZZn-qgTQRCe4OHXq1hFzLDoV_ApbUG/w640-h426/sven+leo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmMLPkxjalk_NnraX6JKs0dloJTTXmEsxzqM6ly8uuv3ZYUKSNup5nby4mYEtoEEp4LWAnAXPc87kjVnf3VEyywbvH7rg8VMUxrWCEkhuM4EBvBHZZn-qgTQRCe4OHXq1hFzLDoV_ApbUG/s72-w640-c-h426/sven+leo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mbelgiji-wa-simba-amlilia-magufuli.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mbelgiji-wa-simba-amlilia-magufuli.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy