KONDE BOY AANDALIWA MAALUMU KWA AJILI YA KAZI KESHO KWA MKAPA
HomeMichezo

KONDE BOY AANDALIWA MAALUMU KWA AJILI YA KAZI KESHO KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema kwamba anaelewa uzito wa mechi yao dhidi ya Al Merrikh kiasi cha kuamua kumuandaa kiungo wake m...


KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema kwamba anaelewa uzito wa mechi yao dhidi ya Al Merrikh kiasi cha kuamua kumuandaa kiungo wake mshambuliaji, Luis Miquissone, 'Konde Boy' kwa ajili ya kuwamaliza Wasudan hao.

Kesho, Machi 16 Simba itawakaribisha wapinzani wake hao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa ni hatua ya makundi.

Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Al Hilal, dakika 90 ubao ulisoma Al Merrikh 0-0 Simba na kuwafanya wagawane pointi mojamoja.

Ikiwa inaongoza kundi A na pointi zake 7 mchezo wa kwanza ilishinda mbele ya AS Vita ugenini bao 1-0 na ule wa pili ilishinda bao 1-0 dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa na mfungaji alikuwa ni Luis.

 

Kocha huyo ameongeza kwamba, anamuandaa Luis ambapo kwa sasa ameamua kumpa program ya kupumzika kwa ajili ya kumfanya awe fiti kwa asilimia 100 ili atimize jambo hilo.


"Luis amechoka ndio maana tunampumzisha ili aweze kuwa fiti kwa asilimia 100, amekuwa akijitoa kwa ajili ya timu na hilo lipo wazi akishirikiana na wachezaji wenzake ndani ya timu.


"Ni muhimu kwa wachezaji wote kuweza kupata muda wa kupumzika ili kuwa sawa kwa ajili ya mchezo wetu ambao hautakuwa mwepesi ndani ya dakika 90," .

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KONDE BOY AANDALIWA MAALUMU KWA AJILI YA KAZI KESHO KWA MKAPA
KONDE BOY AANDALIWA MAALUMU KWA AJILI YA KAZI KESHO KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-FSasOLCAPx2nHw6O0aFMgdalJWGe12TbDIW8_UbVVmdQ3D5DtFxl8gkYVhxy1G_g3wCDzzHm_G9gl2br9Rb2ewgBTPuEOgjhnQQctSvQAjN6idNx6M9geRZNM4pFWs-fJkFtw8oPRISk/w640-h428/Luis+v+Al+Merrikh.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-FSasOLCAPx2nHw6O0aFMgdalJWGe12TbDIW8_UbVVmdQ3D5DtFxl8gkYVhxy1G_g3wCDzzHm_G9gl2br9Rb2ewgBTPuEOgjhnQQctSvQAjN6idNx6M9geRZNM4pFWs-fJkFtw8oPRISk/s72-w640-c-h428/Luis+v+Al+Merrikh.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/konde-boy-aandaliwa-maalumu-kwa-ajili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/konde-boy-aandaliwa-maalumu-kwa-ajili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy