KOCHA MPYA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI NDANI YA LIGI
HomeMichezo

KOCHA MPYA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI NDANI YA LIGI

 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Klabu ya Kagera Sugar amesema kuwa anaamini kuwa vijana wake watafanya vizuri kwenye mechi za Ligi Kuu Tanz...


 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Klabu ya Kagera Sugar amesema kuwa anaamini kuwa vijana wake watafanya vizuri kwenye mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na mashindano mengine.

Kocha huyo aliibuka ndani ya Kagera Sugar akitokea Klabu ya Biashara United ya Mara akichukua mikoba ya Mecky Maxime ambaye alifutwa kazi kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo mbovu wa Kagera Sugar kwenye ligi.

Akiwa ndani ya Biashara United timu yake ilikuwa nafasi ya 4 na imekusanya jumla ya pointi 39 anakutana na Klabu ya Kagera Sugar ambayo ipo nafasi ya 13 na  pointi zake ni 25.

Baraza amesema:"Kazi inaanza na kwa namna ambavyo nimewaona vijana imani yangu ni kwamba tutafanya vizuri na tutarejea kwenye ubora.

"Kikubwa ni kwa wachezaji kufuata maelekezo na kufanya yale ambayo tunakubaliana kwani ushindani kwenye ligi ni mkubwa na kila mchezaji na timu kiujumla inahitaji matokeo chanya," amesema.

Kwa sasa Klabu ya Biashara United ipo mikononi mwa Marwa Chamberi Marwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA MPYA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI NDANI YA LIGI
KOCHA MPYA KAGERA SUGAR NA MATUMAINI YA KUFANYA VIZURI NDANI YA LIGI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6G2ddeIcdcHac9cYNJyWShA18RR-BDW9w5OESNXV_fidO9vwSoUkpcnx92m4ZFLZny9N0rJfLr4eMtQaQ5bRJBSvfuVfg-S84juoatQJCCj9oDxpu9V6XlGTlO7GwZYKEENO4UXoMIz6I/w636-h640/Baraza.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6G2ddeIcdcHac9cYNJyWShA18RR-BDW9w5OESNXV_fidO9vwSoUkpcnx92m4ZFLZny9N0rJfLr4eMtQaQ5bRJBSvfuVfg-S84juoatQJCCj9oDxpu9V6XlGTlO7GwZYKEENO4UXoMIz6I/s72-w636-c-h640/Baraza.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-mpya-kagera-sugar-na-matumaini-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kocha-mpya-kagera-sugar-na-matumaini-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy