Kamati Ya Kudumu Ya Sheria Sheria Ndogo Ya Bunge Yakutana Na Viongozi Wa Wizara Ya Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo
HomeHabari

Kamati Ya Kudumu Ya Sheria Sheria Ndogo Ya Bunge Yakutana Na Viongozi Wa Wizara Ya Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo

  Kamati ya Kudumu ya bunge ya sheria ndogo imekutana na Viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri ...

 


Kamati ya Kudumu ya bunge ya sheria ndogo imekutana na Viongozi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa. Kamati hiyo ilikutana kujadili kuhusu Kanuni za Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza ya mwaka 1976 pamoja na maendeleo ya tasnia hiyo,

Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze, imejadili juu ya sheria zilizopo na na jinsi ya kuziboresha ili kuweka mazingira rafiki kwa wadau wa tasnia ya Filamu nchini na kwenda sambamba na kasi ya kiteknolojia inayokuwa kila siku hasa katika usajili na uhakiki wa kazi zao.

Kikao hicho kimekaliwa  tarehe 29 Machi, 2021 Jijini Dodoma. Hata hivyo, katika kuunga mkono juhudi za Kamati hiyo ya Bunge, Serikali ilikuwa katika hatua ya kukusanya maoni ya wadau juu ya maeneo gani kwenye Kanuni za Filamu na Michezo ya Kuigiza yaboreshwe.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kamati Ya Kudumu Ya Sheria Sheria Ndogo Ya Bunge Yakutana Na Viongozi Wa Wizara Ya Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo
Kamati Ya Kudumu Ya Sheria Sheria Ndogo Ya Bunge Yakutana Na Viongozi Wa Wizara Ya Habari, Utamaduni, Sanaa Na Michezo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinh7sP4P8Bh1PzSFMI6CkTc6iMWsZitZjl3B7Fa6gXdhFO16IbI5PC1YI42qQPCd6FQwQ3NQfCsiF32JtXJLnjO3EnBWg18JNaUR9wNViINg5NAQ0xrMgy2w7Y36MMxlKZ0FxslmP4klTS/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinh7sP4P8Bh1PzSFMI6CkTc6iMWsZitZjl3B7Fa6gXdhFO16IbI5PC1YI42qQPCd6FQwQ3NQfCsiF32JtXJLnjO3EnBWg18JNaUR9wNViINg5NAQ0xrMgy2w7Y36MMxlKZ0FxslmP4klTS/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kamati-ya-kudumu-ya-sheria-sheria-ndogo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kamati-ya-kudumu-ya-sheria-sheria-ndogo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy