ISHU YA NTIBANZOKIZA KUSAINI KCCA UKWELI HUU HAPA
HomeMichezo

ISHU YA NTIBANZOKIZA KUSAINI KCCA UKWELI HUU HAPA

  UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kiungo wao mshambuliaji, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ni...


 UONGOZI wa Yanga umewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa kiungo wao mshambuliaji, Mrundi Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ ni mali yao na badala yake kuachana na proganda zinazoendelea.

 

Hiyo ikiwa siku moja imepita tangu taarifa zienee za kiungo huyo kusaini mkataba wa miaka miwili kuichezea KCCA inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda.

 

Nyota huyo ambaye yupo nje ya uwanja tangu michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyofanyika visiwani Zanzibar Januari, mwaka huu, wiki moja iliyopita aliondoka nchini na kurudi kwao Burundi.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassani Bumbuli, alisema Saido ni mali yao na juzi alizungumza naye.


Bumbuli alisema kuwa, kiungo huyo amesikitishwa na taarifa hizo ambazo kwake hazijamfurahisha huku akitamani kupona haraka ili arejee uwanjani kuipambania timu yake.

 

“Mara ya mwisho kuongea na Saido ni Jumatatu kwa njia simu na mimi ndiye niliyempigia, kikubwa ni kutaka kufahamu maendeleo yake akiwa nyumbani kwao Burundi.

 

"Aliniambia yupo gym, lakini nilizungumza naye kidogo kabla ya kuendelea na mazoezi na kikubwa nilimfahamisha kuhusiana na taarifa hizo, kiukweli alisikitishwa sana,” alisema Bumbuli.


Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 50.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA NTIBANZOKIZA KUSAINI KCCA UKWELI HUU HAPA
ISHU YA NTIBANZOKIZA KUSAINI KCCA UKWELI HUU HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhww1dmbgiNsdfNA54NHBe57ilB9CCVwKTcgBuJXBsl4cwtSULG0MSXP1RSY7TvJeVJcMkAPSrCY8EiMjrxgG5MdNoi_-nKTfYHJBxi9TVNNADHGumFtLYe2uuJSykKkQi9mYrcRb56HQ15/w640-h360/Ntiba+saini.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhww1dmbgiNsdfNA54NHBe57ilB9CCVwKTcgBuJXBsl4cwtSULG0MSXP1RSY7TvJeVJcMkAPSrCY8EiMjrxgG5MdNoi_-nKTfYHJBxi9TVNNADHGumFtLYe2uuJSykKkQi9mYrcRb56HQ15/s72-w640-c-h360/Ntiba+saini.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ishu-ya-ntibanzokiza-kusaini-kcca.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ishu-ya-ntibanzokiza-kusaini-kcca.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy