ISHU YA KAZE KUFUTWA MUKOKO AWAPA KAZI WACHEZAJI
HomeMichezo

ISHU YA KAZE KUFUTWA MUKOKO AWAPA KAZI WACHEZAJI

 BAADA ya mabosi wa Yanga kumfuta kazi Cedric Kaze, nyota wa timu hiyo Tonombe Mukoko amesema kuwa bado wachezaji wana kazi ya kufanya ili...


 BAADA ya mabosi wa Yanga kumfuta kazi Cedric Kaze, nyota wa timu hiyo Tonombe Mukoko amesema kuwa bado wachezaji wana kazi ya kufanya ili kuweza kurejesha hali ya ushindi ndani ya timu.

Kaze amefutwa kazi Machi 7 na kocha wake msaidizi Nizar Khalfan kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo mzunguko wa pili.

Jana Machi 11 Kaze aliwaaga wachezaji wake ambao walionekana wakibubujikwa na machozi kutokana na kocha huyo kutimuliwa akiwa bado hajatimiza malengo yake ya kuwapa ubingwa.

Mukoko ambaye jina lake limetajwa kwenye majina ya wachezaji wa timu ya taifa ya DR Congo amesema kuwa wachezaji pia wana kazi ya kufanya kutimiza majukumu yao kwa ajili ya kuokoa nafasi ya kocha.

"Ikiwa timu inashindwa kupaya matokeo mazuri lawama inakuwa kwa kocha. Lakini na wachezaji pia wana kazi ya kufanya hasa kwa kujituma ndani ya uwanja.

"Wakati wetu ni sasa kutimiza majukumu yetu na kufanya kazi kwa ushirikiano itafanya hata kocha ambaye ataletwa asiwe na kazi kubwa ya kutimiza majukumu yetu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA KAZE KUFUTWA MUKOKO AWAPA KAZI WACHEZAJI
ISHU YA KAZE KUFUTWA MUKOKO AWAPA KAZI WACHEZAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyWT349qvhUwH-TkeQX7464g3hXdraxVzuWgbTx5NzvcVKGUC60zNOTYfn1U5a5_gaSdmGq_ZioXflQQNcZQZXa2vCSdNGU7qLm-9ZAATcA_JHExcFMbGQNlvQvsj8aZaamP5KtmWly_lE/w640-h426/Kaze+na+Mukoko.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyWT349qvhUwH-TkeQX7464g3hXdraxVzuWgbTx5NzvcVKGUC60zNOTYfn1U5a5_gaSdmGq_ZioXflQQNcZQZXa2vCSdNGU7qLm-9ZAATcA_JHExcFMbGQNlvQvsj8aZaamP5KtmWly_lE/s72-w640-c-h426/Kaze+na+Mukoko.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ishu-ya-kaze-kufutwa-mukoko-awapa-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ishu-ya-kaze-kufutwa-mukoko-awapa-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy