IHEFU FC HAWAJAKATA TAMAA NDANI YA LIGI KUU BARA, MATUMAINI YAKUTOSHA
HomeMichezo

IHEFU FC HAWAJAKATA TAMAA NDANI YA LIGI KUU BARA, MATUMAINI YAKUTOSHA

  ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Klabu ya Ihefu FC ya Mbeya amesema kuwa bado kuna nafasi kubwa kwa timu hiyo kujinusuru kwenye janga la kus...


 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Klabu ya Ihefu FC ya Mbeya amesema kuwa bado kuna nafasi kubwa kwa timu hiyo kujinusuru kwenye janga la kushuka daraja licha ya kuwa na mwendo wa kusuasa.

Katwila aliibuka ndani ya Ihefu FC akitokea Klabu ya Mtibwa Sugar ambayo kwa sasa inanolewa na Kocha Mkuu, Hitimana Thiery.

Kikosi chake kikiwa kimecheza jumla ya mechi 24 kimekusanya pointi 20 kipo nafasi ya 17 huku Mwadui FC ikiwa na pointi 16 nayo imecheza mechi 24 ipo nafasi ya 18.

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema kuwa bado kuna mechi ambazo zipo mkononi hizo wakipata matokeo watatoka hapo walipo.


“Ukitazama bado tuna mechi kupitia hizonina amini kwamba ikiwa tutapata matokeo chanya basi tutakuwa na hadithi nyingine ya kusimulia hivyo bado tupo na imani yetu msimu ujao tutakuwa ndani ya ligi.


“Ikiwa tutashinda maana yake ni kwamba tutaondoka kwenye presha ya kushuka daraja, mashabiki wasikate tamaa sapoti yao ni muhimu kwani hata wachezaji nao wanazidi kupambana.


"Ushindani ni mkubwa kwa sababu kila timu ambayo inaingia uwanjani inahitaji ushindi hata sisi pia tunahitaji pointi tatu kwenye mechi zetu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IHEFU FC HAWAJAKATA TAMAA NDANI YA LIGI KUU BARA, MATUMAINI YAKUTOSHA
IHEFU FC HAWAJAKATA TAMAA NDANI YA LIGI KUU BARA, MATUMAINI YAKUTOSHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFs8MPpj6w9b2zazju3dOVBKWBRrEhHJwq9FT8xvdWxitp4wM6AhQYLBFVcsYniDiECwBGqJlkVhd3kt5jx4Gb0mg_z9gyT9yfaPURnaZnaNEyvsxmP4cPFVJy8OykM6iEAUCSzacqM1z/w640-h488/Katwila+Ihefu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDFs8MPpj6w9b2zazju3dOVBKWBRrEhHJwq9FT8xvdWxitp4wM6AhQYLBFVcsYniDiECwBGqJlkVhd3kt5jx4Gb0mg_z9gyT9yfaPURnaZnaNEyvsxmP4cPFVJy8OykM6iEAUCSzacqM1z/s72-w640-c-h488/Katwila+Ihefu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ihefu-fc-hawajakata-tamaa-ndani-ya-ligi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/ihefu-fc-hawajakata-tamaa-ndani-ya-ligi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy