COASTAL UNION: YANGA ILIKUWA LAZIMA IFUNGWE KWA NAMNA YOYOTE
HomeMichezo

COASTAL UNION: YANGA ILIKUWA LAZIMA IFUNGWE KWA NAMNA YOYOTE

  JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo imejichimbia kambi yake maeneo ya Mikanjuni, Tanga amesema kuwa ilikuw...


 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo imejichimbia kambi yake maeneo ya Mikanjuni, Tanga amesema kuwa ilikuwa lazima Yanga afungwe Mkwakwani kwa kuwa hali ya timu yake ilikuwa ni mbaya.

 Mgunda alikiongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara na kulipa kisasi cha kupoteza kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo Coastal Union ilifungwa mabao 3-0.

Mgunda alikuwa ni mzawa wa kwanza kuitungua Yanga ambayo ilikuwa imecheza jumla ya mechi 21 bila kupoteza ndani ya uwanja.

Iligonga mwamba rekodi hiyo Machi 4, Uwanja wa Mkwakwani zama za Cedric Kaze ambaye hakuwa na bahati kwenye mzunguko wa pili mpaka kuchimbishwa kazi mazima.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mgunda amesema kuwa walikubaliana kwamba timu yoyote ambayo ingetia timu Mkwakwani mzunguko wa pili lazima ifungwe.

“Ilikuwa ni lazima Yanga ifungwe hapa Mkwakwani kwa kuwa tulikubaliana kwamba timu yoyote ambayo itashuka nyumbani lazima ifungwe. Hakukuwa na chaguo na wachezaji walielewa somo.

“Nafasi ya 13 ambayo tulikuwa tupo niliwaambia kwamba ni mbaya hivyo hali ilikuwa mbaya kwetu bahati mbaya timu ambayo ilikuwa mbele yetu ni Yanga, hamna namna nawapongeza vijana wamepambana na pointi tatu tumechukua.

"Ushindi huo ni kazi kwetu kuongeza nguvu ya kupambana kwenye mechi zetu zijazo, mashabiki wazidi kutupa sapoti kazi bado ipo," .

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: COASTAL UNION: YANGA ILIKUWA LAZIMA IFUNGWE KWA NAMNA YOYOTE
COASTAL UNION: YANGA ILIKUWA LAZIMA IFUNGWE KWA NAMNA YOYOTE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxHHE9MwJ7Zup1ncoI-KKmH58C9st6qGb69PbcmcZDQzGBhqL8xTx73uqJ_ut0pdlGRmsMP2BNIyyTnb1nd6byQ1LYjnZ5dKbtXePl0I24XGpYQYbvaNyTom1SDw3p5j7vzZ_bZLn84rGt/w640-h426/IMG_1945.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxHHE9MwJ7Zup1ncoI-KKmH58C9st6qGb69PbcmcZDQzGBhqL8xTx73uqJ_ut0pdlGRmsMP2BNIyyTnb1nd6byQ1LYjnZ5dKbtXePl0I24XGpYQYbvaNyTom1SDw3p5j7vzZ_bZLn84rGt/s72-w640-c-h426/IMG_1945.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/coastal-union-yanga-ilikuwa-lazima.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/coastal-union-yanga-ilikuwa-lazima.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy