USHINDI MBELE YA AS VITA NA BIASHARA UNITED WAIPA NGUVU SIMBA
HomeMichezo

USHINDI MBELE YA AS VITA NA BIASHARA UNITED WAIPA NGUVU SIMBA

KOCHA Mkuu wa Simba anayefanya kazi kwa ukaribu na Seleman Matola ambaye ni msaidizi wake amesema kuwa wamekubaliana kupambana kwenye mche...

TUZO ZA MVP, LEBRON AJIPIGIA DEBE KIMTINDO
HAJI MANARA ANA NONGWA NA SIMBA, AGUSIA BILIONI 20
NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII

KOCHA Mkuu wa Simba anayefanya kazi kwa ukaribu na Seleman Matola ambaye ni msaidizi wake amesema kuwa wamekubaliana kupambana kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri.

Simba itashuka Uwanja wa Mkapa, Februari 23 kusaka pointi tatu mbele ya Al Ahly wakiwa na sera ya Total War, A Point Of No Return wakiwa na kumbukumbu ya kupata ushindi zama zile za Patrick Aussems waliposhinda bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.

Tayari kikosi hicho kimeanza maandalizi kuelekea kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja.

Gomes amesema kuwa kundi A lina ushindani mkubwa na ushindi wao mbele ya AS Vita wa bao 1-0 umeongeza nguvu kwao ya kupambana pamoja na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Raia huyu wa Ufaransa ambaye ni mrithi wa mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye alibwaga manyanga ndani ya Simba Januari 7 amesema kuwa wapo tayari na wanawaheshimu wapinzani wao.

"Tunatambua kwamba utakuwa mchezo mgumu ila tupo tayari na tunawaheshimu wapinzani wetu, kikubwa ni kwamba tutaingia ndani ya uwanja kwa tahadhari.

"Ushindi wetu mbele ya AS Vita umeongeza nguvu na morali kwa wachezaji kuwa kwenye nafasi nzuri ya kufanya vizuri hivyo imani ni kwamba tutapambana na kupata matokeo chanya," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: USHINDI MBELE YA AS VITA NA BIASHARA UNITED WAIPA NGUVU SIMBA
USHINDI MBELE YA AS VITA NA BIASHARA UNITED WAIPA NGUVU SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEix0VmC1xP23KovfzJ9nNmagd8g1UFiERWlbTGE-AtI967qPQsEMjtWVofZL7S04AX6csS46rqpnn0ul6d8fKy-PQsyZrH_26PgHBDKTe_Y4xt34ijs8sB2kfmtMjhV8aX8aVFHvBnLq-sK/w640-h504/Matola+na+Gomes.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEix0VmC1xP23KovfzJ9nNmagd8g1UFiERWlbTGE-AtI967qPQsEMjtWVofZL7S04AX6csS46rqpnn0ul6d8fKy-PQsyZrH_26PgHBDKTe_Y4xt34ijs8sB2kfmtMjhV8aX8aVFHvBnLq-sK/s72-w640-c-h504/Matola+na+Gomes.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ushindi-mbele-ya-as-vita-na-biashara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ushindi-mbele-ya-as-vita-na-biashara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy