SIMBA YAPIGA HESABU KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED
HomeMichezo

SIMBA YAPIGA HESABU KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United ambao unatarajiwa kuchezwa Feb...

JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI
NAMUNGO YAZITAKA POINTI TATU ZA PYRAMIDS LEO
YANGA WAMVUTIA KASI DAVID MOLINGA

 UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Biashara United ambao unatarajiwa kuchezwa Februari 18, Uwanja wa Karume, Mara.

Simba kwenye msimamo ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 39 inatarajiwa kukutana na Biashara iliyo nafasi ya nne na pointi zake 32 baada ya kucheza jumla ya mechi 19 ndani ya ligi.

Leo inarejea kutoka DR Congo ambapo imetoka kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi na ilishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vita.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya ligi na kesho kikosi kitaingia kambini kabla ya kuwafuata wapinzani wao.

"Kesho kikosi kitaripoti kambini rasmi kwa ajili ya kuanza maandalizi ya mchezo wetu dhidi ya Biashara United, tunatambua kwamba utakuwa mchezo mgumu ila bado kuna jambo letu tunahitaji kutimiza.

"Mashabiki wazidi kutupa sapoti kwani malengo yetu ni kuona kwamba tunafanya vizuri kwenye ligi pamoja na Ligi ya Mabingwa.

"Tunatambua kwamba Biashara ni timu bora na ina wachezaji wazuri hivyo tunawaheshimu ila tutaingia ndani ya uwanja kusaka pointi tatu," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA YAPIGA HESABU KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED
SIMBA YAPIGA HESABU KUMALIZANA NA BIASHARA UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-7lyqhyJgDmAWMKY4s6q1btnUNqvkTdBUikiSq0mfj8KHgKFCSBCv80sD-51q6f_EbkCy5RQ004zY5cCpmYd-U-7zxi-nUZFZH0WKThUMt6sUaO8ZiXCAyBUgvcfQjIgySwHvB34T4yUk/w640-h480/Ajibu+na+Ndemla.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg-7lyqhyJgDmAWMKY4s6q1btnUNqvkTdBUikiSq0mfj8KHgKFCSBCv80sD-51q6f_EbkCy5RQ004zY5cCpmYd-U-7zxi-nUZFZH0WKThUMt6sUaO8ZiXCAyBUgvcfQjIgySwHvB34T4yUk/s72-w640-c-h480/Ajibu+na+Ndemla.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yapiga-hesabu-kumalizana-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/simba-yapiga-hesabu-kumalizana-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy