LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaendelea ndani ya uwanja kwa timu kusaka pointi tatu. Ikiwa leo ni Februari 18 ratiba inakwend...
LIGI Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili unaendelea ndani ya uwanja kwa timu kusaka pointi tatu.
Ikiwa leo ni Februari 18 ratiba inakwenda namna hii:-
JKT Tanzania v Polisi Tanzania, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Biashara United v Simba, Uwanja wa Karume, Mara.
Azam FC v Mbeya City, Uwanja wa Azam Complex.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS