Rais Magufuli atangaza siku tatu za maombolezo Kifo Cha Maalim Seif
HomeHabari

Rais Magufuli atangaza siku tatu za maombolezo Kifo Cha Maalim Seif

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwan...

WAUMINI: MAPADRI WARUHUSIWE KUOA
ANGALIA MAJINA Yote YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 WALIOCHAGULIWA ,JKT KWA MUJIBU 2015 Kupitia simu yako ya Mkononi
Kiongozi wa upinzani auawa Burundi


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.

Taarifa ya Kurugenzi ya mawasiliano ya Rais Ikulu imeeleza kuwa Maombolezo hayo yameanza  Tarehe 17 Februari, 2021 na kwamba bendere zote zitapepea nusu mlingoti.

Taarifa hiyo ya Ikulu pia imeambatana na salamu za pole kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Familia ya Marehemu na watanzania wote.

“ Nimepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mhe. Malim Seif Sharif Hmad aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. Natoa pole kwa Rais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Mwinyi, Fmilia, wazanzibarwanachama wa ACT-Wazalendo na Watanzania wote. Mungu amuweke mahala pema peponi, Amina”.Amesema Mhe. Rais Magufuli


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Magufuli atangaza siku tatu za maombolezo Kifo Cha Maalim Seif
Rais Magufuli atangaza siku tatu za maombolezo Kifo Cha Maalim Seif
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibFemnbOqk7nkAle5X-9iQYvaBvzrW3iFgmW1_GTNGKHBUONGqmpbTyrPe0GMDutmHJyn-KpNd0TDh5TG19AHCsI10uQPGaehSB1Myo1vtokZoXeEGh8iqWfBEJcbpVcji-N1HGFpz2c1H/s16000/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibFemnbOqk7nkAle5X-9iQYvaBvzrW3iFgmW1_GTNGKHBUONGqmpbTyrPe0GMDutmHJyn-KpNd0TDh5TG19AHCsI10uQPGaehSB1Myo1vtokZoXeEGh8iqWfBEJcbpVcji-N1HGFpz2c1H/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-magufuli-atangaza-siku-tatu-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/rais-magufuli-atangaza-siku-tatu-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy