MIKEL ARTETA:TATIZO LIPO KWENYE UMALIZIAJI
HomeMichezo

MIKEL ARTETA:TATIZO LIPO KWENYE UMALIZIAJI

  MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa tatizo kubwa ambalo linaikumba timu yake ni umaliziaji wa nafasi ambazo wanazitengenez...

 


MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa tatizo kubwa ambalo linaikumba timu yake ni umaliziaji wa nafasi ambazo wanazitengeneza ndani ya uwanja.

Kwa sasa Arsenal inajiandaa na mchezo wao wa kesho, Februari 25 wa hatua ya 32 bora dhidi ya Benfica kesho ambayo ni ya Ligi ya Europa.

Ikiwa Uwanja wa Emirates, Februari 21 iliruhusu kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Artreta amesema:"Tatizo kubwa kwa timu kwa sasa lipo kwenye umaliziaji kwani wamekuwa wakitengeneza nafasi nyingi na kushindwa kuzitumia ndani ya uwanja.

"Hilo nimeliona na tumefanyia kazi. Tunajua kwamba tuna mchezo mgumu na kwetu itakuwa ni kama fainali hivyo tutapambana kupata matokeo mazuri," .

Arsenal watacheza nchini Ugiriki katika Jiji la Athens wakiwa nyumbani baada ya taifa la England kukataa mechi hiyo isipigwe nchini kwao kutokana na kuamini kwamba Ureno kuna Corona nyingi hivyo wachezaji wa Benfica wangekwenda kuliongeza janga hilo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MIKEL ARTETA:TATIZO LIPO KWENYE UMALIZIAJI
MIKEL ARTETA:TATIZO LIPO KWENYE UMALIZIAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7dy8s38TufxvIgmGwB-NQzEUefe6kNuq9j_ERk3z-ukQ4rrIMpz7H_jZfT6jM_dsu1twm1odQOMJri5wM_N57fYrsefpkE1ZsnZdo99XMDXbHULFY1gxNSTfoe3JmUWlDMtzRdxcPHgP5/w640-h462/Arteta+Var.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7dy8s38TufxvIgmGwB-NQzEUefe6kNuq9j_ERk3z-ukQ4rrIMpz7H_jZfT6jM_dsu1twm1odQOMJri5wM_N57fYrsefpkE1ZsnZdo99XMDXbHULFY1gxNSTfoe3JmUWlDMtzRdxcPHgP5/s72-w640-c-h462/Arteta+Var.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mikel-artetatatizo-lipo-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mikel-artetatatizo-lipo-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy