MICHAEL SARPONG:NITAFUNGA MABAO MZUNGUKO WA PILI
HomeMichezo

MICHAEL SARPONG:NITAFUNGA MABAO MZUNGUKO WA PILI

 MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga amesema kuwa ana matumaini ya kurejea kwenye ubora wake na kufunga mabao kwenye mzunguk...

KOCHA YANGA ATAJA WACHEZAJI WATAKAOPENYA KIKOSI CHA KWANZA
MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA AKANA KUCHEZA RAFU
FIFA YAIPIGA PINI MAZIMA CHAD

 MICHAEL Sarpong, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga amesema kuwa ana matumaini ya kurejea kwenye ubora wake na kufunga mabao kwenye mzunguko wa pili tofauti na mzunguko wa kwanza mambo yalivyokuwa.

Sarpong mzunguko wa kwanza alimaliza akiwa ametupia mabao manne sawa na Yacouba Songne na Deus Kaseke ambaye yeye amejiengua kwenye eneo hilo kwa kuwa ametupia bao lake la tano mbele ya Mbeya City.

Sarpong kwenye mchezo wake wa kwanza wa mzunguko wa kwanza alifunga bao mbele ya Tanzania Prisons Uwanja wa Mkapa kwenye sare ya kufungana bao 1-1 ila safari hii kwenye mzunguko wa pili alikwama kutupia mbele ya Mbeya City, Uwanja wa Sokoine.

Nyota huyo amesema:"Ninatambua kwamba mashabiki pamoja na wachezaji wenzagu wanapenda kuona tukishangilia ila nina amini kwamba itakuwa hivyo ni suala la muda tu.

"Mimi ninapenda kufunga kwa kuwa mpira ni kazi yangu hivyo wakati huu nina amini kwamba nitafanya vizuri hivyo muhimu kuwa na subira,".

Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 45 baada ya kucheza jumla ya mechi 19, imefunga jumla ya mabao 30.

Ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Kagera Sugar, Februari 17, Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MICHAEL SARPONG:NITAFUNGA MABAO MZUNGUKO WA PILI
MICHAEL SARPONG:NITAFUNGA MABAO MZUNGUKO WA PILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqxIasLsndKGNHjkgDeVhQgAuLbTiB1UafhrPQG2k4-7w4W38xNdojrKrPSQhb1SAxUVQKyHFVA2L1UumM3oOSCJcfZuCGVh_0yWBhGZvyQ0XU1LsrfuLgNv6C6IbIIvmWvIgoJ-P_t2qV/w640-h640/Sarpong+v+Mtibwa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiqxIasLsndKGNHjkgDeVhQgAuLbTiB1UafhrPQG2k4-7w4W38xNdojrKrPSQhb1SAxUVQKyHFVA2L1UumM3oOSCJcfZuCGVh_0yWBhGZvyQ0XU1LsrfuLgNv6C6IbIIvmWvIgoJ-P_t2qV/s72-w640-c-h640/Sarpong+v+Mtibwa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/michael-sarpongnitafunga-mabao-mzunguko.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/michael-sarpongnitafunga-mabao-mzunguko.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy