LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YASAJILI MABEKI WA KAZI
HomeMichezo

LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YASAJILI MABEKI WA KAZI

HATIMAYE Klabu ya Liverpool imekamilisha usajili wa mabeki wawili muda mfupi kabla ya dirisha la usajili halijafungwa jana Jumatatu, Feb...

JACKPOT ZA NGUVU NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
SAKATA LA MORRISON NA YANGA LINAANZA UPYA KABISA
BEKI SILVA AANDALIWA MKATABA



HATIMAYE Klabu ya Liverpool imekamilisha usajili wa mabeki wawili muda mfupi kabla ya dirisha la usajili halijafungwa jana Jumatatu, Februari Mosi.

Mabeki hao wa kati ni Ozan Kabak na Ben Davies ikiwa ni lengo la kuboresha safu ya ulinzi ambayo ilikuwa inasumbuliwa na rundo la wachezaji ambao ni majeruhi ndani ya timu hiyo amayo ni watetezi wa Ligi Kuu England.

Miongoni mwa mabeki ambao ni majeruhi ni pamoja na Matip, Fabinho huku Virgil van Dijk na Joe Gomez wakiwa ni miongoni mwa mabeki wa kikosi cha kwanza na kuna hatihati wakakosekana uwanjani msimu mzima.

Kabak  amejiunga na timu hiyo kwa mkopo uliogharimu pauni milioni 1.5 akitokea Klabu ya Schalke na una kipengele cha kumnunua mazima ikiwa watamhitaji kwa pauni milioni 18 pia Davies amejiunga na timu hiyo kwa dili la pauni milioni 2 akitokea Klabu ya Preston.

Jurgen Klopp amesema kuwa ana amini wachezaji hao watafanya kazi kwa ushirikiano ndani ya timu hiyo ili kupata matokeo chanya kwa kuwa wachezaji hao bado ni vijana na wana nguvu ya kufanya kazi vizuri.

"Kabak yupo vizuri na ana kipaji kikubwa na kwa Dave bado ni kijana na ana  nguvu hivyo tuna amini atafanya vizuri tayari yupo ndani ya Liverpool, tunahitaji kujenga timu imara hilo lipo wazi," amesema.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YASAJILI MABEKI WA KAZI
LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YASAJILI MABEKI WA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiF27kr_JNSgtoeoakWGWpqMSnXpYfFsxTiBxWp8-JqNsSmHJTXbK1Hse38AMNtcj4jZlLlZ9880VsNCyo4cU4XEMWpXUmP6rTFzR9ZAQ48ii_SifYnnsRM4tL3zectoXbX0Da0ENYRYFMk/w640-h450/Davies+saini.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiF27kr_JNSgtoeoakWGWpqMSnXpYfFsxTiBxWp8-JqNsSmHJTXbK1Hse38AMNtcj4jZlLlZ9880VsNCyo4cU4XEMWpXUmP6rTFzR9ZAQ48ii_SifYnnsRM4tL3zectoXbX0Da0ENYRYFMk/s72-w640-c-h450/Davies+saini.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/liverpool-yafanya-kweli-yasajili-mabeki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/liverpool-yafanya-kweli-yasajili-mabeki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy