KICHAPO MBELE YA MASHUJAA CHAWAPA TAHADHARI SIMBA LEO KUIVAA AFRICAN LYON
HomeMichezo

KICHAPO MBELE YA MASHUJAA CHAWAPA TAHADHARI SIMBA LEO KUIVAA AFRICAN LYON

MATOKEO ya Simba 2-3 Mashujaa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 26,2018 yamewaogopesha Simba na kuw...


MATOKEO ya Simba 2-3 Mashujaa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 26,2018 yamewaogopesha Simba na kuwafanya waongeze umakini kuikabili leo African Lyon.

Zama za Patrick Aussems alipomuamini kipa namba mbili Deogratius Munish na mshambuliaji wake Adam Salamba walikutana na balaa hilo jambo ambalo leo uongozi haupendi kuona likitokea tena.

Majira ya saa 1:00 usiku, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes itakuwa na kibarua cha kufanya mbele ya African Lyon ambao ni wenyeji kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora.

Simba ni mabingwa watetezi wanakutana na African Lyon inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ikiwa na hesabu za kuwavua ubingwa ili iweze kushiriki mashindano ya kimataifa.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa wanakumbuka kilichowakuta mbele ya Mashujaa Uwanja wa Mkapa hivyo wataingia kwa nidhamu mbele ya wapinzani wao.

"Tunatambua kwamba tumeshawahi kupoteza kwenye mechi zetu za Kombe la Shirikisho mbele ya Mashujaa pia iliwahi kutokea mbele ya Green Warriors hivyo tunawaheshimu wapinzani wetu na tutapambana ili kupata matokeo.

"Uzuri ni kwamba kila mchezaji anajua malengo ambayo tunayo na hesabu zetu ni kupata matokeo chanya. Bado tuna nafasi ya kufanya vizuri ila tunawaheshimu wapinzani wetu,".


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KICHAPO MBELE YA MASHUJAA CHAWAPA TAHADHARI SIMBA LEO KUIVAA AFRICAN LYON
KICHAPO MBELE YA MASHUJAA CHAWAPA TAHADHARI SIMBA LEO KUIVAA AFRICAN LYON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhq7ga5kMyg3qK4-0890T_oyNNABR57HTHdOc0IL-N9XiOWnS3LO30H0iWwY_247aum7eh5GfZE2pERUJGzzExzNNr_HA-yo-KhenSolLrdrXYaBi9cqcUjDToBNUqWECphR-JDtOoLjSfK/w640-h448/Ajibu+v+Dilunga.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhq7ga5kMyg3qK4-0890T_oyNNABR57HTHdOc0IL-N9XiOWnS3LO30H0iWwY_247aum7eh5GfZE2pERUJGzzExzNNr_HA-yo-KhenSolLrdrXYaBi9cqcUjDToBNUqWECphR-JDtOoLjSfK/s72-w640-c-h448/Ajibu+v+Dilunga.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kichapo-mbele-ya-mashujaa-chawapa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/kichapo-mbele-ya-mashujaa-chawapa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy