IHEFU YAGOMA KUSHUKA DARAJA MSIMU UJAO
HomeMichezo

IHEFU YAGOMA KUSHUKA DARAJA MSIMU UJAO

 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa wana imani ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 licha ya kuwa kwenye ...


 ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa wana imani ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2021/22 licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua.

kwenye msimamo, Ihefu FC ipo nafasi ya 16 ikiwa imecheza jumla ya mechi 21 na imekusanya jumla ya pointi 20.

Safu yake ya ushambuliaji imefunga jumla ya mabao 13 huku ile ya ulinzi ikiwa imeokota nyavuni jumla ya mabao 28.

Akizungumza na Saleh Jembe, Katwila amesema kuwa vijana wake wana morali kubwa na kila siku anaona maendeleo kwao jambo ambalo anaamini litawapa nafasi ya kupata matokeo chanya.

"Bado kikosi kipo imara taratibu tofauti na awali kwa kuwa morali imekuwa kubwa na kuna wachezaji wenye uzoefu ambao wanawapa nguvu vijana ndani ya uwanja.

"Imani yetu ni kwamba tutakuwa ndani ya ligi msimu ujao hatuna mpango wa kushuka, hilo lipo wazi kwa sasa hesabu zetu ni kupata pointi tatu kwenye mechi zetu ambazo tunacheza," .

Miongoni mwa wachezaji ambao wameongezwa na Ihefu chini ya Katwila ambaye alibwaga manyanga ndani ya Mtibwa Sugar ni Deogratius Munish,'Dida', Andrew Simchimba, Rafael Daud na Oscar Masai. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IHEFU YAGOMA KUSHUKA DARAJA MSIMU UJAO
IHEFU YAGOMA KUSHUKA DARAJA MSIMU UJAO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYUhnJkeeabw6KiaftnOeQ15mkjrbhXfkDaDvDndbBw-d9RXLxx7TLF8G-l9k35apial5mNKdoEEn1PXbqXYUDSGwmzGGaVSwT1_p1pfWHfnjbl5XgSTRNivGXsGhqmQy6RzmFJFKw_ClZ/w640-h488/Katwila+Ihefu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiYUhnJkeeabw6KiaftnOeQ15mkjrbhXfkDaDvDndbBw-d9RXLxx7TLF8G-l9k35apial5mNKdoEEn1PXbqXYUDSGwmzGGaVSwT1_p1pfWHfnjbl5XgSTRNivGXsGhqmQy6RzmFJFKw_ClZ/s72-w640-c-h488/Katwila+Ihefu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ihefu-yagoma-kushuka-daraja-msimu-ujao.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ihefu-yagoma-kushuka-daraja-msimu-ujao.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy