GOMES APIGA HESABU KUPUNGUZA DENI LA POINTI ZA YANGA
HomeMichezo

GOMES APIGA HESABU KUPUNGUZA DENI LA POINTI ZA YANGA

 IKIWA leo anatarajia kuiongoza timu ya Simba kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara,  Didier Gomes amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu nd...


 IKIWA leo anatarajia kuiongoza timu ya Simba kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara,  Didier Gomes amesema kuwa utakuwa mchezo mgumu ndani ya dakika 90 akiwa na deni la kupunguza pointi alizoachwa na vinara Yanga.

Yanga wanajumla ya pointi 44 baada ya kucheza mechi 18 bila kupoteza wamewaacha wapinzani wao kwa jumla ya pointi 9.

Leo Februari 4, Simba itakuwa ugenini kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Dodoma Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu,Mbwana Makata.


Huu ni mchezo wa kwanza kwa Gomes ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck aliyebwaga manyanga Januari 7.



Michezo miwili ambayo aliongoza ilikuwa ni ile ya Simba Super Cup na alishinda mchezo mmoja dhidi ya Al Hilal mabao 4-1 na ililazimisha sare ya bila kufungana na TP Mazembe ambapo katika mchezo huo nyota wake Meddie Kagere hakucheza.


Kocha huyo amesema:"Utakuwa ni mchezo mgumu na wenye ushindani hasa ukizingatia kwamba kila timu inahitaji pointi tatu.  Tuna mechi tatu za kucheza nazo tunahitaji ushindi hivyo haitakuwa kazi nyepesi.

"Tuna kazi ya kupunguza pointi ambazo tumeachana na vinara wa Ligi Kuu Bara ambao ni Yanga," .


Simba ipo nafasi ya pili na pointi 35 baada ya kucheza mechi 15 inakutana na Dodoma Jiji ambayo ipo nafasi ya 10 na pointi zake 22.


Kikosi kilitia timu jana Februari 3 Dodoma na kufanya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa leo.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES APIGA HESABU KUPUNGUZA DENI LA POINTI ZA YANGA
GOMES APIGA HESABU KUPUNGUZA DENI LA POINTI ZA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggKJurs-ZtHtxMYQQ7pbyfLn6Zu8v1dtrBJv6Qih1xqeK7Gf3iG1jpGM22SkdBouyct03QPWRgHnAXTFEBimzlcwjPunPqbXryZjZoN9LdzGTEq0epEmvhfIRW8o1P5KzECs9uta0Yo1oD/w640-h640/IMG_20210203_220025_497.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggKJurs-ZtHtxMYQQ7pbyfLn6Zu8v1dtrBJv6Qih1xqeK7Gf3iG1jpGM22SkdBouyct03QPWRgHnAXTFEBimzlcwjPunPqbXryZjZoN9LdzGTEq0epEmvhfIRW8o1P5KzECs9uta0Yo1oD/s72-w640-c-h640/IMG_20210203_220025_497.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/gomes-apiga-hesabu-kupunguza-deni-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/gomes-apiga-hesabu-kupunguza-deni-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy