DUBE AIPELEKA AZAM FC MIKONONI MWA POLISI
HomeMichezo

DUBE AIPELEKA AZAM FC MIKONONI MWA POLISI

  PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC amefanikiwa kutimiza majukumu yake kwa uzuri na kuipeleka timu hiyo ha...

 


PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC amefanikiwa kutimiza majukumu yake kwa uzuri na kuipeleka timu hiyo hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho. 

Bao lake la ushindi dakika ya 45+1, Uwanja wa Azam Complex limetosha kuwafungashia virago Mbuni FC ambao walikamilisha dakika 90 bila kuweka mzani sawa.

Ushindi huo wa Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina unaifanya Azam FC kuungana na Kagera Sugar, Simba, Yanga ambazo zimetinga hatua ya 16 bora.

Mchezo wake wa raundi ya tano watakutana na Polisi Tanzania inayonolewa na Kocha Mkuu, Hamsini Malale  Uwanja wa Azam Complex.

Azam FC imeweka wazi kwamba malengo makubwa ni kupata ushindi kwenye mechi zao zilizobaki na kuweza kutwaa mataji ambayo wanayapambania.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema:"Malengo ni kuona kwamba tunapata matokeo chanya kwenye mechi zetu ambazo tutacheza na kuweza kutwaa mataji,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE AIPELEKA AZAM FC MIKONONI MWA POLISI
DUBE AIPELEKA AZAM FC MIKONONI MWA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEir5YSFTvXC5B2GF89iOFfIk2s3XV3uXYVqDmvbhT4eOcR2EEcY0VC0R5qL9kBNO1kPKGWowjdnmk_4KjDj8P7cvUwn9k2xaJL6w11cPp3ZmPU4lb-GZOcw6uW5B6VQiDoA834a85HuwUZz/w640-h502/IMG_20210228_054355_954.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEir5YSFTvXC5B2GF89iOFfIk2s3XV3uXYVqDmvbhT4eOcR2EEcY0VC0R5qL9kBNO1kPKGWowjdnmk_4KjDj8P7cvUwn9k2xaJL6w11cPp3ZmPU4lb-GZOcw6uW5B6VQiDoA834a85HuwUZz/s72-w640-c-h502/IMG_20210228_054355_954.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/dube-aipeleka-azam-fc-mikononi-mwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/dube-aipeleka-azam-fc-mikononi-mwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy