AZAM FC WAFUNGUKIA ISHU YA KUMVUTA KWENYE BENCHI LA UFUNDI KOCHA MRUNDI
HomeMichezo

AZAM FC WAFUNGUKIA ISHU YA KUMVUTA KWENYE BENCHI LA UFUNDI KOCHA MRUNDI

 UONGOZI  wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa hauna mpango wa kumrejesha kwenye benchi la ufundi, Etiene Ndayiragije raia wa Burundi baa...


 UONGOZI  wa Azam FC umeweka wazi kuwa kwa sasa hauna mpango wa kumrejesha kwenye benchi la ufundi, Etiene Ndayiragije raia wa Burundi baada ya kufutwa kazi ndani ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Ndayiragije alipewa kibarua cha kuinoa Stars akitokea Klabu ya Azam FC na aliteuliwa rasmi kuanza kuinoa timu hiyo Julai 2019.

Kwa sasa nafasi yake ndani ya Stars ipo chini ya Kocha Mkuu, Kim Poulsen raia wa Denrmark ambaye aliwahi kuwa kocha wa Stars 2012 hadi 2014 na 2011 hadi 2012 alikuwa kwenye soka la vijana.

Habari zilikuwa zinaeleza kuwa huenda Ndayiragije akarejeshwa ndani ya Azam FC kuongeza nguvu mbele ya Kocha Mkuu, George Lwandamina ambaye amebeba mikoba ya Aristica Cioaba aliyechimbishwa.

Abdulakarim Amin, Mtendaji Mkuu wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa hawana mpango wa kumrejesha kocha huyo kwenye benchi la ufundi.

"Kwa sasa hakuna mpango wa kumrejesha Ndayiragije kwenye benchi letu la ufundi ambalo lipo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina,".




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC WAFUNGUKIA ISHU YA KUMVUTA KWENYE BENCHI LA UFUNDI KOCHA MRUNDI
AZAM FC WAFUNGUKIA ISHU YA KUMVUTA KWENYE BENCHI LA UFUNDI KOCHA MRUNDI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZo-NzRi5rcdBwTJTz-nAqCnoZbrcvB-SciGKktt9zN0DgDCMnZzHYlQLWieGcq5p_K517NKyUdxi6yFvmRwVJuGNCETFAxoHZcwQL9AoIlgqhAoTstvMyqaNcVIaOSAixKoAnMvDimMOt/w640-h428/Ndayiragije+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZo-NzRi5rcdBwTJTz-nAqCnoZbrcvB-SciGKktt9zN0DgDCMnZzHYlQLWieGcq5p_K517NKyUdxi6yFvmRwVJuGNCETFAxoHZcwQL9AoIlgqhAoTstvMyqaNcVIaOSAixKoAnMvDimMOt/s72-w640-c-h428/Ndayiragije+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-wafungukia-ishu-ya-kumvuta.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/azam-fc-wafungukia-ishu-ya-kumvuta.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy