Raia wa Yazidi Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa islamic state wamewaua mamia ya wat...
Raia wa Yazidi
Makamu wa rais nchini Iraq Osama al-Nujifi ameyalaani mauaji hayo akiyataja kuwa ya kikatili
Taarifa zilisema kuwa hadi watu 300 waliuawa kwenye wilaya moja iliyo magharibi mwa mji wa Mosul siku ya ijumaa.
Wanamgambo wa islamic state walithibiti maeneo yaliyo kaskazini mwa Iraq kwa karibu mwaka mmoja uliopita ambapo waliwaua na kuwashika mateka maelfu ya watu wa Yazidi wakiwaita makafiri.
Chanzo BBC
Maafisa nchini Iraq wanasema kuwa wanamgambo wa islamic state wamewaua
mamia ya watu wa yazidi waliokuwa wakiwazuilia eneo lililo kaskazini mwa
nchi.

COMMENTS