Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1
HomeMichezoKimataifa

Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1

Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga goli la pili kwa upande wa Barcelona   Real Madrid ya Hispania jana ilidondokea pua katika mec...

Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga goli la pili kwa upande wa Barcelona
 
Real Madrid ya Hispania jana ilidondokea pua katika mechi ya kukata na shoka baina yake na mahasimu wao Barcelona baada ya kukubali kichapo cha magoli 2 -1.

Katika mechi hiyo maarufu kama El Clasico ambayo hushudiwa na mamilioni ya wapenzi soka duniani kote Barcelona waliikimbiza mchakamcha Real Madrid na kuifanya ihemee juu juu.

Jeremy Mathieu ndiye aliyekuwa wa kwanza kufungua kitabu cha magoli cha Barcelona pale alipoandika bao la kwanza katika dakika ya 19 huku wakiwa bado wameduwaa mshambuliaji wa zamani wa Livepool Luis Suarez akapigilia msumari wa moto kwenye kidonda pale alipotikisa wavu wa Real Madrid katika dakika ya 56 na kuandika bao la pili.

Goli pekee la kufutia machozi la Real Madrid lilifungwa Christiano Ronaldo katika dakika ya 31.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1
Real Madrid yachapwa na Barcelona 2 - 1
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/22/150322235031_sp_barcelona_suarez_624x351_reuters.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/real-madrid-yachapwa-na-barcelona-2-1.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/real-madrid-yachapwa-na-barcelona-2-1.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy