MREMBO MISS TANZANIA AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU JIJINI DAR LEO
HomeMatukio

MREMBO MISS TANZANIA AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU JIJINI DAR LEO

Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Du...


Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014,Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam leo. Kushoto Ofisa Muuguzi kutoka Benki ya Damu Salama,Selina Joseph. Zoezi hilo la uchangiaji damu liliandaliwa na Mrembo huyo.

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakishiliki zoezi la uchangiaji damu katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam. Mpiga Picha wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd,John Dande akipima uzito tayari kwa kushiriki zoezi la uchangiaji damu,ikiwa ni sehemu kuunga mkono sherehe za Siku ya wanawake Duniani.zoezi hilo limefanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam.Picha na John Dande
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MREMBO MISS TANZANIA AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU JIJINI DAR LEO
MREMBO MISS TANZANIA AONGOZA WAKAZI WA DAR KATIKA ZOEZI LA UCHANGIAJI DAMU JIJINI DAR LEO
http://api.ning.com/files/ZGGCrW1JrgjiNJNVBsx7J-hiDYGAYA33-2y-zuxKRwZxtxFMYITvZgbb7M25SK0fuAIWrJWeKjpzMMHHAZaUNPYF7peHfYTh/1.jpg?width=650
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mrembo-miss-tanzania-aongoza-wakazi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/mrembo-miss-tanzania-aongoza-wakazi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy